Elli kumbe unapajua vizuri bumbuli eeh,bumbuli kuzuri c mchezo ile view yote ni kijani upepo mwanana pembeni upo na toto la kisambaa,toto jeupe.Mabinti wa Kisambaa hao wamekuingiza mjini, hio ndio Tanga Hahahahaahah na kile kibaridi cha Bumbuli na ile View ilivyokuwa nzuri ukajiona kama vile Wewe ndio Adam uko Eden hahahaha ukiangalia ni Kijani na milima mizuri ikikubembeleza na kando una binti wa Kisambaa, achana nao Mpwa. Nenda kafanye kibarua Mponde Chai, si jirani tu hapo
achana nao hao ustadhijuma wote washamba tu,wewe peke yako ndio unae nifahamuHaaaahahhaaaaahaah!! jf kibokoo....puppa usirudi mdogo wangu washakustukia
Sijawahi kula ada kwanza ni aibu sana kwa mtoto wa kiume kulia lia mwamuume maamuzi, mipango na akili sasa kama wewe unakosa vitu kama ivi utaliwa tuuwewe ulivuna nini?
wewe ulishawahi uza tako?
dads club pale tumewakata sana watoto wa kisambaa,watoto wa kisambaa ni weupe c mchezo af wengi ni vi-bikra hawajui kukataa kabisa,mpaka tuna bifu na watoto wa mtaani kisa tunawakata madada zaoDogo bwege sana kumbe ndo wewe unaowaongoa mademu Wa Kitaa pale sokoni na kule Dadz pub hahaah pole sana .
Halafu hao mademu zenu watamu sana
nimeshapa pesa mkuu nimeuza shamba mil 8 usidhani kwamba nina dhiki sana bro.Sijawahi kula ada kwanza ni aibu sana kwa mtoto wa kiume kulia lia mwamuume maamuzi, mipango na akili sasa kama wewe unakosa vitu kama ivi utaliwa tuu