Hastaili hata kupewa pole huyu aiseeee.... Pole sana , kama una Mali weka rehani
Za jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara
habari ndugu zangu? mimi ni dogo mwenye umri wa miaka 17, mwanzoni mwa mwaka huu niliapply chuo kupitia nacte ngazi ya diploma clinical medicine, matokeo yalivyo toka mwezi uliopita nikachaguliwa chuo cha Tanzania training center for international health.
juzi niliwapigia simu uongozi wa chuo ili kupata information za chuo 'uongozi wakaniambia kuwa chuo akipokei wanafunz wa diploma wala certificate ila wanachukua wanafunz wa AMO assistant medical officer, kwahiyo nacte walifanya makosa kuwapangia wanafunz chuo iko wakaniambia niongee na nacte.
jana nimeongea na nacte wakaniambia kuwa chuo kimesajiliwa na kinatoa certificate na diploma. sasa mimi nashindwa kuwaelewa kabisa nifanye nini hapo naombeni mnisaidie na kibaya zaidi second round selection ya vyuo imepita.
Ni zaidii ya uselaa mavii mkuu... atavuna alichopandaa hkuna namnaakwa huu usela mav***i uliofanya wa kula pesa ya ada sina la kukushauri ila utakumbuka hizi nafasi adhimu unazozichezea
habari ndugu zangu? mimi ni dogo mwenye umri wa miaka 17, mwanzoni mwa mwaka huu niliapply chuo kupitia nacte ngazi ya diploma clinical medicine, matokeo yalivyo toka mwezi uliopita nikachaguliwa chuo cha Tanzania training center for international health.
juzi niliwapigia simu uongozi wa chuo ili kupata information za chuo 'uongozi wakaniambia kuwa chuo akipokei wanafunz wa diploma wala certificate ila wanachukua wanafunz wa AMO assistant medical officer, kwahiyo nacte walifanya makosa kuwapangia wanafunz chuo iko wakaniambia niongee na nacte.
jana nimeongea na nacte wakaniambia kuwa chuo kimesajiliwa na kinatoa certificate na diploma. sasa mimi nashindwa kuwaelewa kabisa nifanye nini hapo naombeni mnisaidie na kibaya zaidi second round selection ya vyuo imepita.
Mimi ni member mpya hapa Jf,
Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu.
Yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruhusu.
Nina umri wa miaka 22 nipo chuo,natafuta rafiki wa kike wakubadilishana nae mawazo umri 18-25.
habari?mimi ni kijana wa miaka 21 uref ft 6 inch 8,nasoma chuo nipo mwaka wa pili nachukua diploma ya clinical medicine.
napenda sana mchezo wa basketball pia nauweza sana tena sana,kutokana na kipaji changu kuna wazungu 3 walinifata wakaniambia kuwa wanataka waendeleze kipaji changu,mwanzoni mwa mwez 1 nilienda home na hao wazungu wakaongea na wazaz na wazazi wamekubali.tatzo ni kwamba tar 27\3\ chuoni tuna mitihan ya end of the semster na lazima kuifanya na kibaya zaidi wazungu wanaondoka tarehe hiyo hiyo kuhusu passport visa kila kitu tayari.kitu kinachonipa uoga nikienda marekani halafu katika majaribio nika fail na uku chuo nimekacha naona utakuwa mtihani kwangu.naombeni ushauri tafadhali
Habari wakubwa.
Mimi ni kijana nina miaka 20 ninasoma diploma in clinical medicine.Tatizo ni kwamba tangu tumeanza semester 2 naona mambo yameniwia magumu aisee
masomo magumu mno halafu kuna session nyingi mno.
Karibia session zote ni balaa mfano anatomy,pathology,clinical skills,communicable. Kila nikisoma sielewi afadhali clinical lab ndio nalionea.
Natamani nihame course niende hata nursing au pharmacy.
Za jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara
Hahahahaaa...we ni mhe.he siyo?....huu ushauri wako hauwezi tolewa na mtu mwingine Mkuu.Jinyonge tu
Mkuu umetisha...unaunga episode kuliko ilivyotakiwa.Tuanze na miaka yako, mbona thread zako zinakinzana hivi.