Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Pole Mdogo wangu.
Kwakuwa umetaka ushairi, chukuwa pilipili ufinyangie machoni usije rudia kula ada tena
 
kuna mwarabu jirani Yangu huwa anawasaidi sana Vijana masharobaro wapenda mteremko kama wewe, kama uko tayari nikupe namba yake
aisifie mvua ujue ime-mnyeshea itakuwa wewe umetolewa marinda na muarabu.pole
 
kama kipaumbele chako ni wanawake na siyo masomo acha shule rudi nyumbani , unaanzaje kufuja hela ya wazazi wako waliyoitafuta kwa shida ili wewe usome? halafu unakuja kutuambia hapa utumbo.
 
sasa ulivyo kula hela ya ada umepata faida gani?
 
Nikiendelea kusoma post yako utaniambukiza upumbavu wako , wacha nisepe fasta
 
Kutokana na akili fupi uliyonayo. Wazee wako wanahustle kutafuta pesa usome ww unachezea. Sasa na ww kazitafute ila lazima utaliwa tu… pimbi wewe
dogo acha maneno,in short nimeshapata pesa ya ada nimeuza shamba mil 8,j3 nalipa mil2 ya ada mfukoni nabakiwa na mil 6.OVER kama una neno lingine sema?
 
dogo acha maneno,in short nimeshapata pesa ya ada nimeuza shamba mil 8,j3 nalipa mil2 ya ada mfukoni nabakiwa na mil 6.OVER kama una neno lingine sema?
Sasa uliulizian nn ilhal una alternative.. Acha stori za kusadikika.
By d way wewe ndio dogo..wenzako hivyo vyuo tumesoma tangu 2011 ndo nilikua mwaka wa pili kama wewe…
So we endelea kuhustle na madogo wenzako
 
Heri ujinyonge tu maana maisha yako unayachezea mwenyewe!!!!kivulana ovyo hichi!!!
mwafrica akishindwa maisha kipimo chake ni kujinyonga,mimi akili yangu haiwazi kujinyonga labda akili yako fupi isiyo na future ndio unawaza kujinyonga.
me akili yangu inawaza future sina akili kama yako
 
nimeshapa pesa mkuu nimeuza shamba mil 8 usidhani kwamba nina dhiki sana bro.
pesa ipo kwani wewe unataka nini zaidi?chuo nawalipa mil 2 zao mfukoni nabakiwa na mil 6.

Mkuu pole sana mana kwenye ishu kama hizi za kula ada ata mm nilishakulaga.....sema mwalimu mmoja alikuja kufanya mazoezi ya vitendo scur kwetu akanisahadia....sema ilikuwa bonge la mtiti.
 
Sasa uliulizian nn ilhal una alternative.. Acha stori za kusadikika.
By d way wewe ndio dogo..wenzako hivyo vyuo tumesoma tangu 2011 ndo nilikua mwaka wa pili kama wewe…
So we endelea kuhustle na madogo wenzako
2011 utakuwa ulisoma chuo cha data star cert in hotel management
 
Back
Top Bottom