Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Hauko serious na shule achana na videm vya chuo kwa kutegemea pesa kutoka kwa wazaz

Unadhani watakubali wale maharagwe na ugali na wewe hutataka uonekanwe mzembe unakwapua hela ya Ada sasa hivi unasugua gaga jamii forum

Kuwa makini papuchi ni kitovu cha uzembe
 
Huo mfumo ulikuwa uanze kutumika toka mwaka jana ikashindikana mwaka huu umeanza kwa 2nd year
Tia nyama kidgo mkuu....INA GPA hao nacte wanai calculate VP? Maana kwa Znz ni matokeo ya mwaka wa tatu tu...
 
Siku hizi mwaka wa kwanza na wa mwisho unafanya tanganyika board

Mimi nimefanya tanganyika board 1st year na third year pia
Ina maana hao board ndio wanatunga mitihani ama wizara? Na je VP kuhusu ukokotoaji wa gpa ya jumla .
 
Heri ujinyonge tu maana maisha yako unayachezea mwenyewe!!!!kivulana ovyo hichi!!!
 
nenda kaolewe sasa kuna faida gani ya kusoma sasa kama ndo hivyo
 
nenda kawaulize wazazi wako huwa wanapata wapi hela ili na wewe ukatafute mbweha wewe.umekula hela kubwa kuliko hata umri wako
 
unamaanisha umetumia
elfu kumikumi 200
elfu tanotano 400
elfu mbilimbili 1000
dah ww si wakuhurumiwa na wala usimsingizie shetani wa watu...
 
Huyu jamaa anaezajiingiza hata katika ushoga.
Tumsaidie mwanaume mwenzetu
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
endelewa kula tu.... jing...a wewe.
Miaka 20 hukomai akili.
 
Kitu pekee nachoweza kukushauri mr puppa acha pupa na wanawake.
 
we umefanya mtihani, hao ambao bado ni vipi au ratiba zikoje?
ni kwanza hajaanza kabisa au wameanza ila hawajamaliza bado
Clinical dentistry wamemaliza CO nadhani ratiba yao ishatoka ila hawajaanza
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Tamaa hiyo! Ukome! Ukute umehonga.
 
Back
Top Bottom