Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Tatizo vijana mnapenda maisha ya juu mara IPhone unataka then kujirusha na vimwana at the end unakuja kulialia hapa.

Mkuu hivi kua na iPhone ni dalili ya maisha ya jui? Kumbe ndio mana kuna mtu ananisumbua sumbua na iPhone aiseee
 
Ina ontesha zairi kwamba chuo hupendi kusoma sasa endelea na starehee mpaka mwisho
 
Mimi na uhakika wakati unakula ada ulijua utailipaje. Lipa sasa
 
Aiseeee we mjinga sana unakuta maisha ya kuunga Unga tu afu unafanya upuuzi huo. Nshasema ukitambua vitu vitatu hutakaa uwe mjinga. Umetoka wapi uko wapi na unakwenda wapi. Aiseeee wafate uliokula nao hiyo ada
 
Nenda kwa uliokula nao. Mchuma janga hula na wakwao sio sisi
 
Nenda MOMBASA kisha tangaza dau nadhani utapata mpaka ya kuanzia maisha.
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
.....Usizingue Hapa Humu Unapoteza muda Fanya mikopo kwa Watu Tofautitofauti kwa Kiasi Kidogo Kidogo Kuanzia elfu 50 gadi laki 3 Utasolve....Unalialia Kibwegebwege Humu Nani Akusikie Sasa
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Miaka 20,
Chuo cha utabibu
Umekula milioni 2 ada ya chuo na wanawake


Ndoorobo, Utoto unakusumbua, Safari yako ya kuwa mtatibu ni ndefu sana.
 
Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Dah...Hii ni very simple....kujua tatizo ndiyo mwanzo wa kutatua tatizo......Nawe fanya kama walivyokufanyia....🙂
 
Back
Top Bottom