Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,118
Uza suruali uendelee kula bata
Hautendi haki, haiwezekani umeacha kuwaomba ushauri wale uliotapanya nao hela ya Ada! Kuwa fair tafadhali hebu waombe ushauri (wao) ili wasijisikie vibaya!Za jioni wakubwa zangu,
Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
ingekuwa vizur kama ungewafata hao wanawake walomaliza pesa zako ndio watakushauri vizur zaidZa jioni wakubwa zangu,
Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Mkuu embu nifahamishe kidgo....mm Niko Zanz kuna ndgu yangu anasoma CO chuo cha afya mbweni wao kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa pili wanafanya mitihan inayotungwa NA chuo tu ila mwaka wa tatu ndio wanafanya mitihan ya wizara ....je INA maana mfumo huu ni tofauti NA huko Bara?Acha zako clinical medicine CO wamemaliza mtihan wa wizara tayar
Hongera sana kwa kuhonga hela ya ada, rudi nyumbani ukalime tu hakuna namnaZa jioni wakubwa zangu,
Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Huo mfumo ulikuwa uanze kutumika toka mwaka jana ikashindikana mwaka huu umeanza kwa 2nd yearMkuu embu nifahamishe kidgo....mm Niko Zanz kuna ndgu yangu anasoma CO chuo cha afya mbweni wao kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa pili wanafanya mitihan inayotungwa NA chuo tu ila mwaka wa tatu ndio wanafanya mitihan ya wizara ....je INA maana mfumo huu ni tofauti NA huko Bara?
Siku hizi mwaka wa kwanza na wa mwisho unafanya tanganyika boardMkuu embu nifahamishe kidgo....mm Niko Zanz kuna ndgu yangu anasoma CO chuo cha afya mbweni wao kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa pili wanafanya mitihan inayotungwa NA chuo tu ila mwaka wa tatu ndio wanafanya mitihan ya wizara ....je INA maana mfumo huu ni tofauti NA huko Bara?
Bado banahAcha zako clinical medicine CO wamemaliza mtihan wa wizara tayar
Hata msaada cna.pole sana.Mimi mwenzio nilipelekwa chuo flan nikasome.nikajiamulia kubadilisha course na chuo.ili hela itakayo bakia Nile.