MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
waambie wazazi haraka!Mtoto akinyea kiganja mzazi hakati, anakisafisha tu
Anataka wakuomba NA yeye amjamwelewakwaiyo unategemea tukulipie au?
Ulipotaka kula ulikuja kuomba ushaur?.acha upumbavu dogoZa jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara
hahaaaa! kwani jamaa ni mhehe mkuu?Jinyonge tu