Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Umri wako sahihi ni upi sasa?

Kuna wadada humu wananichanganya roho
Mimi ni member mpya hapa Jf, Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka...
Thread by: puppa, Oct 7, 2015, 216 replies, in forum: JF Chit-Chat

naombeni msaada ndugu zangu nipo njia panda
habari ndugu zangu? mimi ni dogo mwenye umri wa miaka 17, mwanzoni mwa mwaka huu niliapply chuo kupitia nacte ngazi ya diploma clinical medicine,...
Thread by: puppa, Oct 7, 2015, 2 replies, in forum: Jukwaa la Elimu (Education Forum)

Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu
Hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na msichana niliyemtoa bikra, anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake. Roho inauma sana sina raha wala...
Thread by: puppa, Nov 7, 2015, 59 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu
Baada ya kuachwa na mpenzi wangu niliumia sana, niliamua kutopenda tena wanawake na maamuzi niliyopanga kila mwanamke atakayekatiza mbele yangu...
Thread by: puppa, Dec 19, 2015, 83 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

Msaada: Nachelewa kufika kileleni
Hii hali imenianza miezi 3 iliyopita, nikifanya mapenzi nachelewa sana kufika kileleni, nachukua dk 50 hadi 70. Mpka naamua kupiga puli kabla ya...
Thread by: puppa, Dec 26, 2015, 5 replies, in forum: JF Doctor

Natafuta rafiki wa kike
Nina umri wa miaka 22 nipo chuo,natafuta rafiki wa kike wakubadilishana nae mawazo umri 18-25.
Thread by: puppa, Feb 23, 2016, 7 replies, in forum: Love Connect

Msaada wa kwenda Marekani
habari?mimi ni kijana wa miaka 21 uref ft 6 inch 8,nasoma chuo nipo mwaka wa pili nachukua diploma ya clinical medicine. napenda sana mchezo wa...
Thread by: puppa, Feb 24, 2016, 11 replies, in forum: JF Chit-Chat

Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana...
Thread by: puppa, Feb 29, 2016, 132 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

Za jioni wakubwa zangu, Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele...
Thread by: puppa, Sep 1, 2016 at 9:27 PM, 204 replies, in forum:
Habari na Hoja mchanganyiko.
 
KWA WATU KAMA HAWA AMBAO HAWAJITAMBUI KWANINI WANASOMA ALAFU TAIFA LINATEGEMEA KUWA NA WATU WENYE UFANISI,TANZANIA YA VIWANDA INAKUJA NA VIHOJA VINGI SANA.
WEWE UMEZUA TAHARUKI KWANGU KULIKO TUKIO LA KUPATWA KWA JUA.
LAKINI TANGA KUNA WAARABU WENGI SANA ,WATAFUTE UWAUZIE TIGO AU HAUNA?
 
unastahili kunyongwa
umeacha kilichokupeleka chuo, umefuata mengine
 
Bola ufukuzwe tu maana kwa kitendo ulichofanya hata elimu yako inaonekana haina msaada kabisa kwako.
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Kwel

Kweli nimeamini DIVISION FIVE sio nzuri hata kidogo na ndio maana zimefutwa
 
Hivi bado kuna ada watu wanapewa mkononi? Duh! Nilidhani walipa ada wanapewa acc ya chuo wanadeposit.
Anyway pole. Maji yameshamwagika.
Ndio sababu tunaambiwa tule hela zetu. Ukiwapa wengine wanchezea.
Imagine mzazi kakopa kwny saccos. Au kachukua mkopo kazini lumpsum. Huyu hana uchungu nayo hata chembe. Tena mtu mwenyewe over 18yrs!!! Mnatukatisha tamaa.
Hima haki ya kuhangaikiwa na mzazi au mlezi tena. Ushakuwa mtu mzima sasa. Jifunze kuwa na shukrani kwa wanadunia wenzako wanachokutendea. Wewe sio mtoto tena unaweza kufungwa jela kabisa.
Umeniudhi sana!!
Leo naenda kujirusha!
Angalao nifaidi hela yangu isiishie kwa watu kama hawa.

Kwa sasa ahirisha chuo. Beba zege au kibarua kingine. Upate japo robo. Rudi kaombe radhi ya ukweli kwa walioteseka kuiafuta ile uliokula. Then jifunze kujisomesha.

Hapa nina binti wazazi wake hawana mpango nae. Kajisomesha kwa kazi hadi sasa ana diploma na ana miaka 23 sasa.
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Mashamba bado mengi, hayalipiwi ada!
 
nimeshapa pesa mkuu nimeuza shamba mil 8 usidhani kwamba nina dhiki sana bro.
pesa ipo kwani wewe unataka nini zaidi?chuo nawalipa mil 2 zao mfukoni nabakiwa na mil 6.
Pumbavu sasa uliandika ili iwaje km unashamba. Tena Mombasa
 
Usijali kwa hilo mimi nipo Wizarani nitakutungia mtihani wako mwenyewe usiokuwa na malipo ila utaniona unipe kitu kidogo
 
Umri wako sahihi ni upi sasa?

Kuna wadada humu wananichanganya roho
Mimi ni member mpya hapa Jf, Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka...
Thread by: puppa, Oct 7, 2015, 216 replies, in forum: JF Chit-Chat

naombeni msaada ndugu zangu nipo njia panda
habari ndugu zangu? mimi ni dogo mwenye umri wa miaka 17, mwanzoni mwa mwaka huu niliapply chuo kupitia nacte ngazi ya diploma clinical medicine,...
Thread by: puppa, Oct 7, 2015, 2 replies, in forum: Jukwaa la Elimu (Education Forum)

Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu
Hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na msichana niliyemtoa bikra, anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake. Roho inauma sana sina raha wala...
Thread by: puppa, Nov 7, 2015, 59 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu
Baada ya kuachwa na mpenzi wangu niliumia sana, niliamua kutopenda tena wanawake na maamuzi niliyopanga kila mwanamke atakayekatiza mbele yangu...
Thread by: puppa, Dec 19, 2015, 83 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

Msaada: Nachelewa kufika kileleni
Hii hali imenianza miezi 3 iliyopita, nikifanya mapenzi nachelewa sana kufika kileleni, nachukua dk 50 hadi 70. Mpka naamua kupiga puli kabla ya...
Thread by: puppa, Dec 26, 2015, 5 replies, in forum: JF Doctor

Natafuta rafiki wa kike
Nina umri wa miaka 22 nipo chuo,natafuta rafiki wa kike wakubadilishana nae mawazo umri 18-25.
Thread by: puppa, Feb 23, 2016, 7 replies, in forum: Love Connect

Msaada wa kwenda Marekani
habari?mimi ni kijana wa miaka 21 uref ft 6 inch 8,nasoma chuo nipo mwaka wa pili nachukua diploma ya clinical medicine. napenda sana mchezo wa...
Thread by: puppa, Feb 24, 2016, 11 replies, in forum: JF Chit-Chat

Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana...
Thread by: puppa, Feb 29, 2016, 132 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili
Za jioni wakubwa zangu, Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele...
Thread by: puppa, Sep 1, 2016 at 9:27 PM, 204 replies, in forum:
Habari na Hoja mchanganyiko.
Anatuuzia chai huyu....
 
Ahahaha huyu jamaa ni mse.. Malizia mkuu.
 
Back
Top Bottom