Haaaahahhaaaaahaah!! jf kibokoo....puppa usirudi mdogo wangu washakustukiaTuanze na miaka yako, mbona thread zako zinakinzana hivi.
Hela hamnaUnaomba hela au?
Za jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara
na ile thread yake alokuwa anaomba kuingizwa jukwaa la wakubwa mnaikumbuka?!! ngoja niitafute niwawekeeBata umekula na nani kilio utuletee sisi?
Afu umri wako kama bahari vile, unakupwa na kujaa mara una 17, mara 22, mara 21.....ovyo
NIMEIPATAna ile thread yake alokuwa anaomba kuingizwa jukwaa la wakubwa mnaikumbuka?!! ngoja niitafute niwawekee
Ww ni kE au MEZa jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara
Kupanga ni kuchagua umekula ada umechagua kukaa nyumbani,ninashaka sana na uelewa wakoZa jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara