Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Dogo bwege sana kumbe ndo wewe unaowaongoa mademu Wa Kitaa pale sokoni na kule Dadz pub hahaah pole sana .

Halafu hao mademu zenu watamu sana
 
hiki ulichoandika hapa, ndicho unachotakiwa kumuelezea baba ako, kwanza aliekuambia ada inaliwa nani?? huu mzimu utakuandama hadi ukojoe dagaaaaaa....mxiuuuuu
Hahahaaa
Pole sn ndugu yangu nenda nyumbani uonane ana kwa ana Na wazazi wako Na uwambie ukweli wotee Na uombe msamaha kwa makosa uliyofanya Na hapo utashangaa mambo yatakuwa sawa kwakuwa ukweli humweka mtu huru
 
Wakati unakula mbona haukuja kuomba ushauri ya jinsi yakuzila hizo hela?
 
Waambie hao watu wa Wizarani kilichokupata kwa uwazi kabisa watakusamehe😀
 
Starehe hzo kijana mdogo unaendekeza starehe kaa nyumbn kwanza ujifunze hela zinapotoka
 
Za jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara
Ulipoanza kutafuna hiyo M 2 uliingia jamvini kuomba ushauri??

Halafu inaonekana ulizitumbulia Bar....
Jongea mdogo mdogo kawaombe Bar Maids wakushauri......
 
Za jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara
Jitumbue
 
Wasambaa huwa tunasema nnkande!nnkande osiye.nikamanisha mademu ni kama chakula.
 
Za jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara
kweli ume pagawa naona ona una miaka 20 chuo
 
kinachofuata hapo ni kupakwa vilainishi.muhuni hali ada
 
Za jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara

Hongera. Nenda kauze machungwa na karanga sokoni.
 
Tuanze na miaka yako, mbona thread zako zinakinzana hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah imebidi nicheke hapo eti asprin ni mdada.

Halafu huyo mbona anakuwa fasta Mara umri unapungua Mara 17 Mara 22 Mara 20 [emoji15]

Aisee[emoji3]
 
Bei ya bundle iongezwe, hawa watoto wakipata chenji za gengeni wakijiunga na vifurushi wana mambo ya ajabu ili mradi wapitishe tym kusubiri msosi.
 
Za jioni wakubwa zangu??nina miaka 20 Nasoma chuo cha utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili,nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada mil 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinacho niumiza ni mitihani ya wizara
Nitafute nikusaidie dogo,
Nitakupa noti ya Tsh 10,000 uitoe photocopy mpaka zitimie Mil 2,kisha uende ukalipe ada.
 
Back
Top Bottom