Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

Atakwambia kama ni hivyo basi baki na hela yako, na hapo ndio utajua nia yake kuwa sio nzuri.
Kama lengo ni utelezi kwann usinunue?
Mwanamke unaechukua namba Kwa lengo la kumla Inabidi usiwe na haraka Cha kwanza, anataka akuzoee weeeee kipindi hicho wewe unatoboka Hela tu, na Kama si Malaya basi utampata Kwa njia kuu tatu
1.katibuana na Mume/mtu wake
2.amekuzungusha sn na kula Hela zako na ww hukati tamaa!
3.baada ya kukuzoea Kuna kakitu ameanza kuvutiwa nacho kwako
Tofauti na Haya utasave sn namba za hao unaoita mademu!
 
Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako.

Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani.

Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
Ukitaka kula sharti uliwe! Tunguri ni za waganga,uchawi pesa!!
 
Kama lengo ni utelezi kwann usinunue?
Mwanamke unaechukua namba Kwa lengo la kumla Inabidi usiwe na haraka Cha kwanza, anataka akuzoee weeeee kipindi hicho wewe unatoboka Hela tu, na Kama si Malaya basi utampata Kwa njia kuu tatu
1.katibuana na Mume/mtu wake
2.amekuzungusha sn na kula Hela zako na ww hukati tamaa!
3.baada ya kukuzoea Kuna kakitu ameanza kuvutiwa nacho kwako
Tofauti na Haya utasave sn namba za hao unaoita mademu!
Malaya siwezi kununua, hapo kwenye kuzoeana sana ndio mtihani. Anataka hela nataka jambo, ni nipe nikupe.
Hayo yote yanatokea kwa wale ke ambao wapo mbele ya muda, wale ambao kakupa namba leo na leo leo anakupiga kizinga.
 
Kama lengo ni utelezi kwann usinunue?
Mwanamke unaechukua namba Kwa lengo la kumla Inabidi usiwe na haraka Cha kwanza, anataka akuzoee weeeee kipindi hicho wewe unatoboka Hela tu, na Kama si Malaya basi utampata Kwa njia kuu tatu
1.katibuana na Mume/mtu wake
2.amekuzungusha sn na kula Hela zako na ww hukati tamaa!
3.baada ya kukuzoea Kuna kakitu ameanza kuvutiwa nacho kwako
Tofauti na Haya utasave sn namba za hao unaoita mademu!
Mimi hii tatu huwa ninaenda nayo, wakati wa kuzoeana huwa nanaweza kutoa vijisenti hapa na pale. Pia, wakati wa mazoea unaangalia weak spot kama hajaolewa unaonesha una mpango nae wa kudumu either kumuoa ama kuanzisha familia ya kando nae pale unapokuwa umemwambia kwamba una familia, kama ni bizness unaonesha nia na mikakati ya kumfungulia biashara kubwa na unaweza na kuanza na kumkatia passport ya 150k ili aanze kwenda China na Uturuki kuleta bidhaa, ukishakula kama mara mbili tatu unalala mbele.
 
Back
Top Bottom