Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Wasalam,

Ni mara nyingine tena kama ilivyokuwa inasubiliwa sasa ndio imetimia.

kwanza niwaombe radhi kwa kutokufanya mashindano ya mwezi Dec 2012, hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu licha ya jitihada nilizozifanya za kuwatafuta ambao wangeweza kuendesha mashindano lakini kwa bahati mbaya haikuwezekana. Niombe radhi sana na samahani kama kuna mtu alikwazika anisamehe bure.

Bila kuwachosha,tunamtafuta MISS CHIT CHAT 2012 amabaye ata peperusha bendera kwa mwaka wote.washiriki ni kama ifuatavyo:

1. cacico - miss aug 2012
2. Remmy - miss Sept 2012
3. Madame B - miss oct 2012
4. Ciello - miss nov 2012
5. charminglady - Nafasi ya upendeleo
6. Arabela- Nafasi ya upendeleo

ZAWADI
Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo:
a/ Mshindi wa kwanza atajipatia Muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wenye thamani ya TSH 13,000/= pamoja na kulipiwa JF Bronze(mchango wa jf wa thamani ya THS 20,000)
b/mshindi wa pili atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wa thamani ya Tsh 9,000/=
c/ mshindi wa tatu atajishindia muda wa maongezi wa mtandao atakao kuwa anatumia wa Tsh 6,000/=
d/ mshindi wa nne atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao anaotumia wa thamani ya Tsh 4,000/=
Masharti
- Washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura na kufanya kampeni za kuomba kura
- One member one vote
- Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec saa 6 usiku kamili.
- Zawadi zitatolewa siku ya tarehe moja asubuh.

Wadhamini
- Ruhazwe JR
- Jiwe Linaloishi (kwaajili ya zawadi ya mshindi wa nne)
- Chimbuvu
- Slave
- Akijitokeza mdhamini mwingine basi zawadi itaongezeka!

Nawasilisha



UPDATE
Tumepata mdhamini mwingine anayejulikana Jiwe Linaloishi yeye anadhamini muda wa maongezi wenye thamani ya Tsh 3000 kwa mshindi atakaye shika nafasi ya nne.
Tunaomba wadhamini wengine wazidi kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona



MORE UPDATE
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa,wamejitokeza wadhamini wengine wawili kama ifuatao;- 1. Chimbuvu (udhamini wa Tshs 5,000/=) na Slave (udhamini wa Tshs 2000/=).kwa sababu hiyo zawadi za washindi zimeongezeka.Tunazadi kuwaomba wadhamini wajitokeze zaidi.

PIGA KURA SASA!
Utaratibu ni mzuri, ila kwa nini hamjaweka option ya hakuna anayefaa kati ya hao? Kuna weengine hatuwajui wote. Mbona Mwali hauypo?
 
Please keep on voting for charminglady.

Tafadhali endelea kupiga kura kwa charminglady.

Por favor,tenga en votar a favor de charminglady.

请继续投票charminglady.

LENGO LETU NI charminglady afike zaidi ya 50%.Kwa msaada wa Mungu tutaweza na kwa kura yako tutafikia LENGO.
Pamoja Tunaweza!!
 
Last edited by a moderator:
Please keep on voting for charminglady.

Tafadhali endelea kupiga kura kwa charminglady.

Por favor,tenga en votar a favor de charminglady.

请继续投票charminglady.

LENGO LETU NI charminglady afike zaidi ya 50%.Kwa msaada wa Mungu tutaweza na kwa kura yako tutafikia LENGO.
Pamoja Tunaweza!!

Mercy daddy!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nakuunga mkono.

Tupewe vigezo vilivyotumika kupata nafasi za upendeleo. Kwanini wasiwe wake zangu BADILI TABIA, Yummy na Asali Kongosho?

Au ni kwanini wasiwe wake zangu watarajiwa mambo yakienda sawa marejesho na Binti.com
Au ni kwanini wasiwe dada zangu Preta na sweetlady na Nyamayao
Au kwanini siyo walimu wangu snowhite na gfsonwin
Au kwanini siyo wajukuu zangu afrodenzi na MwanajamiiOne
Au msiri wa hommie wangu Kaizer bi mwaJ

Naandaa maandamano asee!!

Ntumeeeeeeeeeeeee:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:
 
glad to know you okay pumpkin....maana mtoto akiumwa daddy anakuwa na huzuni!
Ooooh my God daaad u av reminded me of sm one by calling me dat naaaame
Da im starving wana prepare some thing to feed my stomach
 
Ooooh my God daaad u av reminded me of sm one by calling me dat naaaame
Da im starving wana prepare some thing to feed my stomach

mmh usiache nami kuniwekea daughter....kila mara hupenda jinsi mnavyopika daughters wangu...hapa bado nina taswira ya yale mapochopocho aliyopika juzi you other sis charminglady lol...
 
Last edited by a moderator:
Hii si sawa yaani wewe wewe unaandandaa shindano na wewe wewe unakuwa kampeni manager

mkuu naomba uoneshe wapi nimepost hiyo comment,...acha mchezo mchafu, acha mbinu ya kuchukua post yangu kisha uka edit, si mchezo mzuri,...unanikwaza sana mkuu naomba utoe idhibitisho wapi nimepost kitukama hicho vinginevyo sitakuelewa hata kidogo
 
mbona mimi nashindwa kuvote?

mkuu kama unatumia jf mobile(yaani simu) huwezi isipokuwa tu mpaka ubonyeze hapo kwenye "Desktop" kisha ndio unaweza kuvote.lakini pia unaweza kutumia Computer.kifupi ni kuwa ukiwa kwenye jf mobile huwezi kuvote
 
mmh usiache nami kuniwekea daughter....kila mara hupenda jinsi mnavyopikwa daughters wangu...hapa bado nina taswira ya yale mapochopocho aliyopika juzi you other sis charminglady lol...
yeaaah dad hapana chezeiyer cl my sis. Mekuwekea hata ivo
 
Last edited by a moderator:
heheheeeeeiyaaaa........!!! kazi ndio imeanza,kampeni manager wa Arabela ndio naanza kazi

ulimaanisha nini acha jazba mkuu wapi na mimi nimeedit post yako unawezaweka ushaidi hapa maali nimeedit post yako basi mod nipige ban ya maisha
mkuu naomba uoneshe wapi nimepost hiyo comment,...acha mchezo mchafu, acha mbinu ya kuchukua post yangu kisha uka edit, si mchezo mzuri,...unanikwaza sana mkuu naomba utoe idhibitisho wapi nimepost kitukama hicho vinginevyo sitakuelewa hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Bora wewe useme mkuu....

mkuu ninomba kuoneshwa wapi nimepost kitu cha namna hiyo?....tuwe wawazi...mkuu watu8 wewe ni mwingoni mwa member ninaye kuheshimu sana naamini utatoa ushirikiano katika kuleta ushahidi,sipendi kuchafuliwa kwa sababu ambazo kwenu mnazani zinawapa faida,leta ushahidi na kama ni kweli naomba nipewe ban ya maisha
 
Last edited by a moderator:
ulimaanisha nini acha jazba mkuu wapi na mimi nimeedit post yako unawezaweka ushaidi hapa maali nimeedit post yako basi mod nipige ban ya maisha

ni lazima kuwa na jazba mkuu kitalolo,hili siwezi kuliacha likapita hiv hivi,naomba link ili watu wanihukumu maana hii sio fair
 
Last edited by a moderator:
heheheeeeeiyaaaa........!!! kazi ndio imeanza,kampeni manager wa Arabela ndio naanza kazi

ni lazima kuwa na jazba mkuu kitalolo,hili siwezi kuliacha likapita hiv hivi,naomba link ili watu wanihukumu maana hii sio fair


mkuu hacha hizo hapo juu ulimaanisha nini kujiita kampeni manager wa arabela?
mimi binafsi sijakuelewa labda unieleweshe na wewe umekuja na shutuma kuwa nimeedit post yako ili nikusingizie nionyeshe ushahidi wa post yako niliyoiediti na kama kama hii hapo juu sio post yako labda uniambie kuna mtu mwingine anajiita Ruhazwe JR
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom