Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
mkuu hacha hizo hapo juu ulimaanisha nini kujiita kampeni manager wa arabela?
mimi binafsi sijakuelewa labda unieleweshe na wewe umekuja na shutuma kuwa nimeedit post yako ili nikusingizie nionyeshe ushahidi wa post yako niliyoiediti na kama kama hii hapo juu sio post yako labda uniambie kuna mtu mwingine anajiita Ruhazwe JR

naomba link tafadhali....au nikuoneshe jinsi ulivyo edit kwa kutole mfano moja ya post yako....niandike "lazima nikuchafue Ruhazwe JR"

Wenye akili wataelewa ulicho fanya NAOMBA USHAHIDI WA LINK ACHA POROLOJO
 
Last edited by a moderator:
Hizi sasa zimekuwa kampeni chafu, kuna watu wanatumia vibaya uwezo wao na ujuzi wa IT.nimeliona hilo tangu jana, things are no longer the way they were supposed to be. Hadi kufika hiyo tar.31 yataonekana mengi
 
mkuu kama unatumia jf mobile(yaani simu) huwezi isipokuwa tu mpaka ubonyeze hapo kwenye "Desktop" kisha ndio unaweza kuvote.lakini pia unaweza kutumia Computer.kifupi ni kuwa ukiwa kwenye jf mobile huwezi kuvote

nimeshalimaliza tatizo mkuu kura yangu tayari nimeshaipiga
 
Hizi sasa zimekuwa kampeni chafu, kuna watu wanatumia vibaya uwezo wao na ujuzi wa IT.nimeliona hilo tangu jana, things are no longer the way they were supposed to be. Hadi kufika hiyo tar.31 yataonekana mengi

inaonekana kuna ka mchezo kachafu kanataka kufanyika, mi naona bora kura zistopishwe then tuhakikishiwe kama hakuna uwezekano wa kuchakachua
 
Wasalam,

Ni mara nyingine tena kama ilivyokuwa inasubiliwa sasa ndio imetimia.

kwanza niwaombe radhi kwa kutokufanya mashindano ya mwezi Dec 2012, hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu licha ya jitihada nilizozifanya za kuwatafuta ambao wangeweza kuendesha mashindano lakini kwa bahati mbaya haikuwezekana. Niombe radhi sana na samahani kama kuna mtu alikwazika anisamehe bure.

Bila kuwachosha,tunamtafuta MISS CHIT CHAT 2012 amabaye ata peperusha bendera kwa mwaka wote.washiriki ni kama ifuatavyo:

1. cacico - miss aug 2012
2. Remmy - miss Sept 2012
3. Madame B - miss oct 2012
4. Ciello - miss nov 2012
5. charminglady - Nafasi ya upendeleo
6. Arabela- Nafasi ya upendeleo

ZAWADI
Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo:
a/ Mshindi wa kwanza atajipatia Muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wenye thamani ya TSH 16,000/= pamoja na kulipiwa JF Bronze(mchango wa jf wa thamani ya THS 20,000)
b/mshindi wa pili atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wa thamani ya Tsh 12,000/=
c/ mshindi wa tatu atajishindia muda wa maongezi wa mtandao atakao kuwa anatumia wa Tsh 8,000/=
d/ mshindi wa nne atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao anaotumia wa thamani ya Tsh 6,000/=
Masharti
- Washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura na kufanya kampeni za kuomba kura
- One member one vote
- Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec saa 6 usiku kamili.
- Zawadi zitatolewa siku ya tarehe moja asubuh.

Wadhamini
- Ruhazwe JR - 42,000/=
- Mu-sir -Tsh 10,000/=
- Chimbuvu -Tsh 5,000/=
- Jiwe Linaloishi- Tsh 3,000/
- Slave - Tshs 2,000/=
- Akijitokeza mdhamini mwingine basi zawadi itaongezeka!

Nawasilisha

UPDATE
Tumepata mdhamini mwingine anayejulikana Jiwe Linaloishi yeye anadhamini muda wa maongezi wenye thamani ya Tsh 3000 kwa mshindi atakaye shika nafasi ya nne.
Tunaomba wadhamini wengine wazidi kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona

MORE UPDATE
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa,wamejitokeza wadhamini wengine wawili kama ifuatao;- 1. Chimbuvu (udhamini wa Tshs 5,000/=) na Slave (udhamini wa Tshs 2000/=).kwa sababu hiyo zawadi za washindi zimeongezeka.Tunazadi kuwaomba wadhamini wajitokeze zaidi.

MORE UPDATE
Napenda kuwa taarifu kwa heshima na furaha kuwa,tumepata mdhamini mwingine anaitwa Mu-sir ambaye amedhamini kiasi cha Tshs 10,000/= ilikuongezea katika zawadi kwa washindi watakao patikana.kwa niaba ya wanachitchat nakupa shukrani mkuu Mu-sir.Tunaomba wdhamini wengine wasisite kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona.

PIGA KURA SASA!
Aithee kweli!
Mshindi kwa kupitia hapa JF mimi nitatoa 50,000/= no joke!!
mNEC-JF(National Electorate Commission-JF) wa zoezi zima naomba utani-PM tafadhali.
 
Aithee kweli!
Mshindi kwa kupitia hapa JF mimi nitatoa 50,000/= no joke!!
mNEC-JF(National Electorate Commission-JF) wa zoezi zima naomba utani-PM tafadhali.

mkuu kama upo serious tuhakikishie mchango wako.mchango wako ukishafika mkononi mwetu/mwangu ndipo tunapata nguvu ya kuwatangazia washiriki na wadau wote na kuongeza zawadi.Tunafanya hivi kwa kuogopa ahadi hewa alafu mwisho wa siku zawadi haionekani.
 
inaonekana kuna ka mchezo kachafu kanataka kufanyika, mi naona bora kura zistopishwe then tuhakikishiwe kama hakuna uwezekano wa kuchakachua

hata mi inanipa mashaka hasa pale kitalolo anapoaanza kuedit post yangu kwa malengo amabyo nahisia si mazuri.
 
Last edited by a moderator:
nimeshalimaliza tatizo mkuu kura yangu tayari nimeshaipiga
nashakuru kwa kupiga kura kwa umpendaye,...paamoja sana
Hizi sasa zimekuwa kampeni chafu, kuna watu wanatumia vibaya uwezo wao na ujuzi wa IT.nimeliona hilo tangu jana, things are no longer the way they were supposed to be. Hadi kufika hiyo tar.31 yataonekana mengi
umeona eeeh........Kiukweli kitalolo leo kaniharibia siku aisee!
 
Last edited by a moderator:
Weraweraweraweraaaaaaaaaaa 50,000 hiyo jaman mr lundenga usiifumbie machoo
najiitahi kuifatilia kwa makini....lakini naogopa ya mdomoni tu bila vitendo sitaki ahadi hewa ambazo mwisho wa siku inakua ni minus
 
Kura yangu imwendee dada yangu mpendwa.
CHARMING LADY.

Mkuu hakikisha unapiga kura kwa kuchagua pale juu kwenye jedwali.
Kama unatumia simu hakikisha JF katika web browser yako ipo katika Desktop view na si JF mobile view.
Ukipata shida yoyote nitumie PM tafadhali.

watu8
Campaign Manager to charminglady
 
Hakuna mashindano ya Mrs. nipendekeze angalao wawili?

Au mtu akiolewa anakuwa automatikali diskualifaidi?
 
mr yuko wap?hakikisha mr wako Judgement haondoki jf akiondoka mimi na wewe,ntatangaza mgogolo na wewe

Ruhazwe JR unataka sema hujui kiendeleachoo??? Tulisitisha mahusiano coz ya ubize wetu tukaona tusije kwazana kwanamna moja ama nyingine

Wala atakua alikua anatania tuu damu yake nzima jf
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe JR unataka sema hujui kiendeleachoo??? Tulisitisha mahusiano coz ya ubize wetu tukaona tusije kwazana kwanamna moja ama nyingine

Wala atakua alikua anatania tuu damu yake nzima jf

mulisha nini?....kwa sababu ya nini?..sijui na sipend kusikia,...ahaaa sasa nimejua kumbe wewe pia ni tatizo had Judgement kuaga jumba la malaha.naomba umrudie haraka aisee nipo chin ya magot yako
 
Last edited by a moderator:
mulisha nini?....kwa sababu ya nini?..sijui na sipend kusikia,...ahaaa sasa nimejua kumbe wewe pia ni tatizo had Judgement kuaga jumba la malaha.naomba umrudie haraka aisee nipo chin ya magot yako
weeee chini ya magoti yangu watafuta nin mr lundenga. Wala mbona ilikua kiroho saafi tuu
 
Last edited by a moderator:
mkuu kama upo serious tuhakikishie mchango wako.mchango wako ukishafika mkononi mwetu/mwangu ndipo tunapata nguvu ya kuwatangazia washiriki na wadau wote na kuongeza zawadi.Tunafanya hivi kwa kuogopa ahadi hewa alafu mwisho wa siku zawadi haionekani.
Mkuu naomba uni PM ili unipe namba ya kukutumia kwa M pesa hiyo ahadi.
Kwa vile ume doubt naongeza dau kwa mshindi wa MWISHO-10,000/-
PM tafadhali!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom