Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
hata mi inanipa mashaka hasa pale kitalolo anapoaanza kuedit post yangu kwa malengo amabyo nahisia si mazuri.

Naomba mamod wote wa jf waingilie kati hii kesi kwani unanishutumu kwa kitu amabacho sijakifanya na ikibainika ukweli waweke wazi hapa jf
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hakikisha unapiga kura kwa kuchagua pale juu kwenye jedwali.
Kama unatumia simu hakikisha JF katika web browser yako ipo katika Desktop view na si JF mobile view.
Ukipata shida yoyote nitumie PM tafadhali.

watu8
Campaign Manager to charminglady


mkuu naona mabo yanaenda vizuri kwa upande wako sasa wameona wanashindwa wameanza kunishutumu eti nimeedit post zao wanataka kuaribu uchaguzi hawa wana dama ya kile chama chawala
 
done,wish miss chit chat 2012 to come,happy new year 2013
Votes Result.JPG

 
mkuu naona mabo yanaenda vizuri kwa upande wako sasa wameona wanashindwa wameanza kunishutumu eti nimeedit post zao wanataka kuaribu uchaguzi hawa wana dama ya kile chama chawala

Hahaha...mkuu usijali wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi ndio maana nipo kimya nafanya mambo taratibu na kwa msaada wa wadau wangu ukiwemo wewe kaka!
 
heheheeeeeiyaaaa........!!! kazi ndio imeanza,kampeni manager wa Arabela ndio naanza kazi

hata mi inanipa mashaka hasa pale kitalolo anapoaanza kuedit post yangu kwa malengo amabyo nahisia si mazuri.

mkuu Invisible naomba msaada wako kwenye hii shutuma inayonikabili nilichofanya ni kuquoute post ya huyu jamaa kama inavyojionyesha hapa lakini amekuja na shutuma kuwa nimeedit post yake tunaomba msaada maana nimemwambia sio fair kwa mwandaajia wa shindano na wakati huo huo kuwa meneja wa kampeni wa miongoni mwa wagomea kama inavyoonekana hapa kwenye post yake akijiita kampeni meneja wa Arabela.

mkuu ukifwatilia uzi huu utaona shutuma nyingi alizozielekeza kwangu hata baada ya mimi kuweka quote ya post yake na kutaka ufafanuzi juu ya hilo.
Amekiri mwenyewe kuwa hataliacha hili lipite hivyo hivyo na kwenye private meseji aliyonitumia ananishutumu kwa kumchafulia jina haya ni madai mazito sana ambayo naomba yapatiwe ufafanuzi mapema tafadhali sana sipendi kumkwza huyu bwana Ruhazwe JR kwanamna yoyote.

Asante
 
Last edited by a moderator:
heheheeeeeiyaaaa........!!! kazi ndio imeanza,kampeni manager wa Arabela ndio naanza kazi

mkuu Invisible naomba msaada wako kwenye hii shutuma inayonikabili nilichofanya ni kuquoute post ya huyu jamaa kama inavyojionyesha hapa lakini amekuja na shutuma kuwa nimeedit post yake tunaomba msaada maana nimemwambia sio fair kwa mwandaajia wa shindano na wakati huo huo kuwa meneja wa kampeni wa miongoni mwa wagomea kama inavyoonekana hapa kwenye post yake akijiita kampeni meneja wa Arabela.

mkuu ukifwatilia uzi huu utaona shutuma nyingi alizozielekeza kwangu hata baada ya mimi kuweka quote ya post yake na kutaka ufafanuzi juu ya hilo.
Amekiri mwenyewe kuwa hataliacha hili lipite hivyo hivyo na kwenye private meseji aliyonitumia ananishutumu kwa kumchafulia jina haya ni madai mazito sana ambayo naomba yapatiwe ufafanuzi mapema tafadhali sana sipendi kumkwza huyu bwana Ruhazwe JR kwanamna yoyote.

Asante

Hahaha...mkuu usijali wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi ndio maana nipo kimya nafanya mambo taratibu na kwa msaada wa wadau wangu ukiwemo wewe kaka!

mkuu ni kweli lakini ukimya maana yake ni ndio na pia ni hapana sasa kwa shutuma hizi ambazo wengine wamekwishaanza kuona kuwa nimeedit post ya huyu jamaa yanaondoa uhalali wa hili shindano ndio maana hapa nimeomba wakuu wa JF waweze kulitazama hili na kuclear mashaka yote yaliyopo ili tumpate miss chitchat wetu charminglady kwa haki bila mizengwe
 
Last edited by a moderator:
kitalolo bado nakusihi sana uweke link,ushahidi wako wa quote hautoshi...naomba uweke link mahala ambapo ume quote.mbinu uliyotumia kuiandaa hiyo quote naifahamu sana.na naomba Moderator na Invisible watoe majibu juu ya shutuma hii unayo nipa.kamwe sito iacha ipite kirahis rahis kama ulivyo kuja na narudia tena weka link ya mahala ulipo quote
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.
Kwanza ni vigezo gani ulivyotumia kupata hao warembo hapo juu, na kwa nini jina langu na la lara 1 halipo kwenye hicho ulichoita 'NAFASI YA UPENDELEO'?

Hapa lazima nipige kampeni ya kususia huu mtanange, mpaka utupe majibu ya kina.

Hii haikubaliki kabisa kijana.

ha ha haa! Hii nafasi ya upendeleo yaonesha aliyependelewa kapendwa kwelikweli..Lakini lara1 na zinduna wangekuwamo mchuano ungekuwa vuta nikuvute zaidi...labda tusubiri shindano lijalo pengine sifa za ushiriki zitawekwa wazi mapemaaa!

Merry Christmas, Happy 2013
 
mkuu kitaloo tayari nimepata majibu ya kunilizisha....nimepigiwa sim na mdogo wangu Madabhali jnr kuwa ni kweli yeye ndio alijikuta anapost kwa kutumi simu yangu.ananikumbusha zaid tulikua tumekaa wote sehemu flan,simu yake ikawa inakataa kufungua net,akaniomba ya kwangu kuingia jf na aliingia kwa kusahau log out id yangu akajikuta ka-post.nimemwambia aje hapa kutoa majib anadai anapata tabu hata kuingia jf kwa id yake.kifup ni kwel na kanielekeza mahala ilipo hiyo post.nikuombe ladhi sana
 
Last edited by a moderator:
kitalolo nizid kukuhakikishi sijaegeme popote katika kumsaidia mshirik yoyote.japo nimepiga kura na kura yangu kwangu ni siri....relax mkuu hakuna chochote kinacho athil mwenendo wa uchaguz ila tuzid kukosoana
 
Last edited by a moderator:
kitalolo nizid kukuhakikishi sijaegeme popote katika kumsaidia mshirik yoyote.japo nimepiga kura na kura yangu kwangu ni siri....relax mkuu hakuna chochote kinacho athil mwenendo wa uchaguz ila tuzid kukosoana

Mkuu Ruhazwe JRnaoma kwa heshima na taadhima unisamehe pale nilipokukwaza na mimi ninakusamehe pale uliponikwaza na ninaomba nijiondoe kwenye haya malimbano yasiojenga na naomba tufunge huu mdaalo kwa heshima yetu sote na kwa heshima ya JF ila nizidi kukuhakikishia tu kuwa msimamo wangu ni kuwa sijaedit post yako.Na ninaondoka kwenye post hii kwa roho nyeupe na nikimsubiria mshindi wa chit chat na nitakubaliana na yeyete atakayekuwa mshindi.
Asante na ninatumaini utanielewa kwani sioni haja ya kuendeleza malumbano. na naomba wanaJF waendelee na moyo wa kupiga kura wakiamini kuwa atakayeshinda hatatokana na uchakachuzi.
Nakemea uchakachuzi wa aina yeyeto kwani tukichakachua huku ndio tunajenga taifa la wachakachuzi amabalo litatupeleke
kwenye kuchakachua kila kitu.
sina maslai na mgombea yeyeto ingawa nilipiga kura kwa heshima ya kampeni meneja wa charminglady[MENTION]watu8[/MENTION]na nilifanya hivyo kwani ndiye aliyekuwa wa kwanza kuniomba kura yake na sikuona iana ya kutokufanya hivyo na hata miaalipokuja kuniomba kura ya mtu wake nilimweleza wazi kuwa nimekwishapiga kura yangu kwa aliyewahi kuniomba kura. hivyo malalamiko yangu hayakuwa kwa maslai ya mgombea bali nilikuwa napenda kuona haki ikitendeka na kuoneka.
Hivyo kama umekana post niliyoikoti hapo nakuomba uirejee ukurasa wa kwanza na kuwaimba mamod wafuatilie kujua ni nani aliyeediti ili wewe uonekane kuwa ni mwandaaji wa shindano na pia ni kampeni meneja wa miongoni mwa wagombee hii sio kuendeleza malumbano bali ni ili haki itendeke na kuonekana kuwa imetendeka kwa maslai ya JF nzima na jukwaa hili pia kuondoa mashaka yatakayoweza kujitokeza baadae ikiwa itatokea hali ya sintofaahmu kama hii. Pengine kwenye maoni au kura zinazoendeshwa hapa JF.
naomaba nitangaze rasmi sasa kujiondoa kwenye malumbano haya na kuomba pamoja na kutangazaa msamaa dhidi ya hili lililojitokeza hapa.
AMINA NA HERI YA MWAKA MPYA WA 2013
 
Last edited by a moderator:
ha,ha,ha.. Kitololo sio utan ulinifanya jana nilewe sana maana jana nilihis kudata hasa pale ulipokataa kujibu pm yangu....naomba tuzid kukosoana.nikuombe radhi pia
 
Last edited by a moderator:
kwa utafiti mfupi niliofanya kipindi hiki kuna makampeni meneja ambao hawajavote sijui wanasubiri nini..

Mpaka sasa huyu charminglady anachapa hawa mang'ang'aa..

Week end njema!!
 
Last edited by a moderator:
Wasalam,

Ni mara nyingine tena kama ilivyokuwa inasubiliwa sasa ndio imetimia.

kwanza niwaombe radhi kwa kutokufanya mashindano ya mwezi Dec 2012, hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu licha ya jitihada nilizozifanya za kuwatafuta ambao wangeweza kuendesha mashindano lakini kwa bahati mbaya haikuwezekana. Niombe radhi sana na samahani kama kuna mtu alikwazika anisamehe bure.

Bila kuwachosha,tunamtafuta MISS CHIT CHAT 2012 amabaye ata peperusha bendera kwa mwaka wote.washiriki ni kama ifuatavyo:

1. cacico - miss aug 2012
2. Remmy - miss Sept 2012
3. Madame B - miss oct 2012
4. Ciello - miss nov 2012
5. charminglady - Nafasi ya upendeleo
6. Arabela- Nafasi ya upendeleo

ZAWADI
Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo:
a/ Mshindi wa kwanza atajipatia Muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wenye thamani ya TSH 16,000/= pamoja na kulipiwa JF Bronze(mchango wa jf wa thamani ya THS 20,000)
b/mshindi wa pili atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wa thamani ya Tsh 12,000/=
c/ mshindi wa tatu atajishindia muda wa maongezi wa mtandao atakao kuwa anatumia wa Tsh 8,000/=
d/ mshindi wa nne atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao anaotumia wa thamani ya Tsh 6,000/=
Masharti
- Washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura na kufanya kampeni za kuomba kura
- One member one vote
- Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec saa 6 usiku kamili.
- Zawadi zitatolewa siku ya tarehe moja asubuh.

Wadhamini
- Ruhazwe JR - 42,000/=
- Mu-sir -Tsh 10,000/=
- Chimbuvu -Tsh 5,000/=
- Jiwe Linaloishi- Tsh 3,000/
- Slave - Tshs 2,000/=
- Akijitokeza mdhamini mwingine basi zawadi itaongezeka!

Nawasilisha



UPDATE
Tumepata mdhamini mwingine anayejulikana Jiwe Linaloishi yeye anadhamini muda wa maongezi wenye thamani ya Tsh 3000 kwa mshindi atakaye shika nafasi ya nne.
Tunaomba wadhamini wengine wazidi kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona



MORE UPDATE
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa,wamejitokeza wadhamini wengine wawili kama ifuatao;- 1. Chimbuvu (udhamini wa Tshs 5,000/=) na Slave (udhamini wa Tshs 2000/=).kwa sababu hiyo zawadi za washindi zimeongezeka.Tunazadi kuwaomba wadhamini wajitokeze zaidi.

MORE UPDATE
Napenda kuwa taarifu kwa heshima na furaha kuwa,tumepata mdhamini mwingine anaitwa Mu-sir ambaye amedhamini kiasi cha Tshs 10,000/= ilikuongezea katika zawadi kwa washindi watakao patikana.kwa niaba ya wanachitchat nakupa shukrani mkuu Mu-sir.Tunaomba wdhamini wengine wasisite kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona.

PIGA KURA SASA!

mkuu Ruhazwe JR mimi natoa zawadi ya kuwa patia muda wa maongezi wa dakika 10 kwa washindi watatu wakwanza..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom