Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Yan watu tulikesha kupita kila jukwaa kupiga kampeni na kuomba kura mimi, kampen manager watu8 na kambi yangu nzima afu muandaaji asepe???? Weeeeeee mbona atahama JF ati......

Slaa%2Bkuhutubia%2BKinungu%2B1..JPG

Nimepigwa jua la majukwaa yote ya JF....
 
Last edited by a moderator:
aiseeee kama siamini miguu yangu no! macho yangu aanhaa hapana masiko yangu kama kweli hayo mnayo yasema ni kweli.

kama ni kweli Invisible husika hapo kututafutia mtayarishaji huyo HAWA WAREMBO HAPO CHINI WANADAI HAKI YAO
cacico
Remmy
Madame B
Ciello
charminglady
Arabela

INA MAANA NA NYIE DADA ZANGU HAMNA KING,NG,AMUZI CHA KUNG,AMUA ALIPO? AU BADO HAMJAINGIA RASMI KATIKA DIGITAL??????????
 
Last edited by a moderator:
Yan watu tulikesha kupita kila jukwaa kupiga kampeni na kuomba kura mimi, kampen manager watu8 na kambi yangu nzima afu muandaaji asepe???? Weeeeeee mbona atahama JF ati......

Slaa%2Bkuhutubia%2BKinungu%2B1..JPG

unaniona hapo pembeni nilivyokuwa makini kusikiliza sera zako na nikaamua kuongeza zawadi kwako mshindi ka 10,000 usiniambie kakapiga puu nitamshusha mshipa wa ngiri we ndoja ithibitike atakuja hapa kuomba msamaa si mtaona
 
Last edited by a moderator:
Yan watu tulikesha kupita kila jukwaa kupiga kampeni na kuomba kura mimi, kampen manager watu8 na kambi yangu nzima afu muandaaji asepe???? Weeeeeee mbona atahama JF ati......

Slaa%2Bkuhutubia%2BKinungu%2B1..JPG

Hahahaaaa hapo lazma busha limuhusu
 
Last edited by a moderator:
Wapi Gazeti letu pendwa la udaku la JF????

Naomba kichwa cha habari cha leo kisomeke hiv

SHINDANO LA MISS CHIT CHAT LAINGIA DOA... MUANDAAJI AINGIA MITINI NA ZAWADI ZA WASHIRIKI

copy to: Chimbuvu, Slave, Mu-sir, watu8, Erickb52, Nicas Mtei, Arabela, Madame B masopakyindi Samaritan na kitalolo

bila kuwasahau Invisible na Moderator

Mkuu charminglady na wengine wote wanaohusika na hili Shindano naomba mjue kuwa muandaaji ni kaka yangu kabisaa sasa lazima kuna tatizo behind. Nitafuatilia na kuwaletea feedback ASAP. over and out.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu charminglady na wengine wote wanaohusika na hili Shindano naomba mjue kuwa muandaaji ni kaka yangu kabisaa sasa lazima kuna tatizo behind. Nitafuatilia na kuwaletea feedback ASAP. over and out.

wewe unakaa zako huko nje ya nchi unashindwa kumjulia hali kaka yako?. kama huna taarifa ni kwamba kaka yako anaumwa tangu tarehe 26/12/2012. mia
 
Last edited by a moderator:
my apology sikuweza kupiga kura au kushiriki kwa namna yoyote, kwa yeyote kwa sababu ya mazingira ya wakati ule ambayo siwezi kuyaelezea hapa am so sorry!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom