Nimeshindwa kupiga kura yangu ya siri
Nimeshindwa kupiga kura yangu ya siri
nani huyo?...kachakachua nin?...
Haiwezekani usiku mmoja tu tena wa jana tu mabadiliko ya kura yawe makubwa hivi,hapa lazima zile Ids 200 za mtu mmoja zinahusika na anayeweza kulitolea ufafanuzi hili ni Invisible peke yake..nani huyo?...kachakachua nin?...
Nimeipenda hiyo mkuu,naomba uniambie namna ya kuwasiliana ili niwe miongoni mwa wadhamini.

Kura inaenda kwa charminglady
Charminglady nampa kura
kama haihesabiki mni prvt mnifundishe
BB angu through opera mini apa ndo imefika