Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
mi nshasema tangu awali, nyie mkijua huu sisi tunajua wa huku....(uo ni msemo tu) muongoze nyie tu akiongoza @cahrminglady mtu kachakachua, tena ni C6 na watu8 mh........... mnalo

sio bure dogo, wewe na baba mkwe wako mme computerize kompyuta imechanganyikiwa
 
Last edited by a moderator:
sio bure dogo, wewe na baba mkwe wako mme computerize kompyuta imechanganyikiwa

nasubiri ifike tarehe 31 ndo tufanye mambo maana binti huyu hashindi kila mwezi wanachukua wengine tu
 
Ruhazwe JR mie nilitaka kuwa mdhamini ila since kuna mshiriki ambae anahusika kwa njia moja au nyingine na mimi na akishinda itaonekana kuna mambo yamefanyika ngoja nikae pembeni , ntadhamini kupitia bwana Chimbuvu
no!wana cc ni waelewa,we tudhamin tu.
 
Last edited by a moderator:
hayahayahayaaaa...kumekucha kumekucha. mpigie kura Arabela. siku zote anashiriki bila kushinda. huu ni wakati wake. wale makampeni manager wa Arabela mkakati ni ule ule. mwisho wa siku watu watapigwa na butwaa!. mia
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom