CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
hivi mtoto umeolewa weye?
Mkuu usisahau kupiga kura yako!!!
hivi mtoto umeolewa weye?
Mkuu usisahau kupiga kura yako!!!
Aisiiii
dah bahati mbaya sana wenzio wamenidaka juu juu tena kwa PM
dah bahati mbaya sana wenzio wamenidaka juu juu tena kwa PM
huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.
Kwanza ni vigezo gani ulivyotumia kupata hao warembo hapo juu, na kwa nini jina langu na la lara 1 halipo kwenye hicho ulichoita 'nafasi ya upendeleo'?
Hapa lazima nipige kampeni ya kususia huu mtanange, mpaka utupe majibu ya kina.
Hii haikubaliki kabisa kijana.
kweli lara 1 na natalia jamani dhaambi.
Next time mkuu... Ila usisahau kura yako kuiacha kwa charminglady!!!
Huyo ndugu yetu daughter hakika kura yake haikupotea bure amekupatia...
Alaaaa kumbe, Ni nani vile???
poa poa mkuu. Tuko pamojashukrani mkuu nawe endelea kuhamasisha kwa kila raia ambaye unamfahamu....Pamoja tunaweza!
cl mi shapiga kumbe meshuukuru ajee yan nilikua na mawazo asante watu8 baba wa shosti angu si ndo baba yetuuu amaaaa??? Hili taj la mwanza jaman
Naona mama mjamzito anakuja kasi, naja naja,nimeshamaliza Christmas narudi kwenye kampeni na ujio wa verse buku