Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Hiyo huitwa minyukano ya kusaka ushindi dear...lakini ushindi ukishapatikana kwa mmoja, tofauti zinazikwa kando tunaserebuka kwa pamoja....mzima lakini weye?
oh yeah. Me mzima hofu kwako
Hiyo huitwa minyukano ya kusaka ushindi dear...lakini ushindi ukishapatikana kwa mmoja, tofauti zinazikwa kando tunaserebuka kwa pamoja....mzima lakini weye?
Hey peeeeple ni aje? Mna feel aje? Nimewamiss sana Madame B, cacico na charminglady,kampeni zinasemaje?
Tayari....!!

Nipo busy kuandaa mapochopocho na mahanjumati ya sikukuu... tuonane tar. 27 plz.....
Hey peeeeple ni aje? Mna feel aje? Nimewamiss sana Madame B, cacico na charminglady,kampeni zinasemaje?
Hahaha thanks mamito! Enjoy the holidays
Namchagua au nampendekeza Charminglady kuwa miss chitchat 2012.

ndo umeshamaliza kazi yako.Relax