Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
daughter usisahau kuniwekea kafirigisi....teh teh teh

Daddy wewe tena.... me nakuandalia hivi....

creature_wings_and_bog_dip_.jpg
 
Mkuu kama unataka kufanya hivyo hakikisha kama watumia simu, iwe katika Desktop Version na sio Mobile Version...pindi itakapokua katika Desktop Version, pembeni ya kila mshiriki utaona viduara kama vishimi, hakikisha unachagua kile kilicho sambamba na charminglady halafu bonyeza VOTE kumpa kura yako binti yangu.
Kama watumia kompyuta chagua kiduara sambamba na jina la charminglady halafu bofya VOTE. Usimsikilize Baba V anakupotosha

Thank you daddy!!!!!!!
 
Daddy wewe tena.... me nakuandalia hivi....

creature_wings_and_bog_dip_.jpg

ujue cl utani mwingine sio,.. watu8 kwao wanakula ugali leo unazani akiona hiv situtampoteza?...teh,teh, hadi mate yananitoka nitumie hata kwa pm bas
 
Last edited by a moderator:
Naona ndani ya Jiji la Kijani...wakati wa sikukuu ni mwendo wa Mbalagha tu na mdudu pori.

Asikwambie mtu mzee, mpunga ni nguku, mbatata nu lukama, imbalagha ni kikanda, dah balaa tupu
 
huu ni wakati wa shostito of mine kushine na staki uchakachuuzi nataka hili taji limuendee charming lady kwakweli hata nyie oneni wenyewe.


Nilikua na tonsez but dasa naeza meza so ushind wa cl nshaumezea dawa tayari kwa savana.
 
C6 nimejaa tele kama pishi la mchele! Lol... Nipo hivo hivo kwa kubangaiza. I believe you are well and good.

mie niko bomba , sorry kwa kuchelewa kukujibu nimesahau chaja ya mchina wangu dodoma, si unajua tena hii ndio njia ya pekee nisipokuwa kidadavuzi mpakato changu

karibu sato huku mama
 
Duh! Bongo thi mchedho! Nimekutana na fuso mlandizi full KitiMt wakihemeana, maskini hawajui hata hatima yao ni kwenye intenstines!

Madame B iiiiiiii apewemo kura yangu!
 
Last edited by a moderator:
huu ni wakati wa shostito of mine kushine na staki uchakachuuzi nataka hili taji limuendee charming lady kwakweli hata nyie oneni wenyewe.


Nilikua na tonsez but dasa naeza meza so ushind wa cl nshaumezea dawa tayari kwa savana.

Thnx much my shostito!!!! Me love saaaana...... Hakika hutojutia kura yako!!!!!
 
ha ha ha! Mie nakubali tu sina jinsi kabisa. Tshirt iwe loose na ndefu basi... I love sneakers ziwe colorful. Mie kuna mmoja alisema ataniletea juba ndio namsubiri.

Hivi umemuona darling shem Asprin? Alitaka wake zake wote wawepo sijui haoni ingekuwa ugomvi?! Lol... Anapenda tiffu huyu baba.
hivi mtoto umeolewa weye?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom