Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

I can assure you no one is inspired kama yupo m-tag hapa tuone , ulichofanikiwa kupata mpaka sasa ni watu wanaokuona kama mwehu tu. Lakini pia hiki unachokiita affirmations ni show off tu.

Namsubiri huyo mtu aliyekuwa inspired
Acha kuongea kitu kwa sababu ya mihemko ya kishamba.

If hujawa inspired pita kushoto na tuendelee na mambo yako.

Show off hiyo ni tafsiri yako
 
Acha kuongea kitu kwa sababu ya mihemko ya kishamba.
Nitaachaje wakati wewe ndio umeni-inspire?
If hujawa inspired pita kushoto na tuendelee na mambo yako.
Acha kujipendekeza kwenye mambo yangu, mimi na wewe "hatuwezi kuendelea kwenye mambo yangu"

Umesema una-inspire watu, nimekwambia taja mtu mmoja aliyekuwa inspired unaanza kutikitikisa kalio huku unang'ata ng'ata kucha maana yake nini sasa
 
Matt na Ben Affleck waliitendea kazi

Ukiachana na Jason Bourne

Hii ni movie pendwa kwangu kutoka kwa Matt

I can relate to it Somehow maisha yangu binafsi .
Hata siwajui producers ila, nilipenda kuona how malezi yanaweza kumfanya mtu akaji deny yeye mwenyewe..

Will, alikuja kuambiwa na yule bro wake kuwa... Kuna muda Natamani siku nije kukuijia na nikuite umesha sepa zako, yaani umesha acha kunitegemea)

Lakini pia ile love hate dynamic na yule manzi wa kishua ilikuwa the most catching scene
 
Nitaachaje wakati wewe ndio umeni-inspire?

Acha kujipendekeza kwenye mambo yangu, mimi na wewe "hatuwezi kuendelea kwenye mambo yangu"

Umesema una-inspire watu, nimekwambia taja mtu mmoja aliyekuwa inspired unaanza kutikitikisa kalio huku unang'ata ng'ata kucha maana yake nini sasa
Boya nini? Mimi nimekwambia lengo la uzi unataka nianze kutafuta mtu, kwani mimi ni kazi yangu hiyo?

Acha kuwa ndezi kama huna cha kuongea pita kushoto
 
Hata siwajui producers ila, nilipenda kuona how malezi yanaweza kumfanya mtu akaji deny yeye mwenyewe..

Will, alikuja kuambiwa na yule bro wake kuwa... Kuna muda Natamani siku nije kukuijia na nikuite umesha sepa zako, yaani umesha acha kunitegemea)

Lakini pia ile love hate dynamic na yule manzi wa kishua ilikuwa the most catching scene
View attachment 3666650
Ni eye opening psychological movie .

Trauma /Intelligence/Talent /Capabilities
 
Back
Top Bottom