Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
12,930
Reaction score
25,515
Ndugu zangu..

Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu..

I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho.

I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu..

Ipo siku Nitakuja humu kuwakumbusheni yaha maneno. Sio kwa ubaya ila nataka mujionee how Good the lord is..

If he chooses you, he will hide you in plain sight until it's your time to shine.

I once said by mwaka 2040 Nitakuwa mtu maarufu duniani.. Ni kweli kabisa, hii ni vision niliyo iona since I was a bitty little boy.

Naomba niwakumbushe tu wale wenye malengo makubwa na wwameoneshwa na Mungu wazidi kuamini, maana it must come to pass.

9d5b29cd953ae9adf71e9cd07e5e8c91.jpg
 
Tumia akili zako vizuri Kijana 😂😂😂
Mbegu inapoota ardhini huwa haina mikelele lakini wewe kelele nyingiiii

Hatukuandami lakini jifikirie sana aisee , kama humu JF tushakujua nenda na huko nje wakujue basi
 
Kwani imeandikwa sehemu au kuna limitation ya kusema ninacho kitaka?

Na usitumie misemo uchwara ukadhani kila mtu ata buy into the BS...

Hold your composure, acha kuleta projection za kijinga
 
Kama jf unapiga kelele kiasi hiki sijui mazingira unayoishi inakuwaje..

Huwezi toboa kwa kuwaambia watu goals zako na plans zako... utabaki kujisifu na kujipa moyo...
images
I have all rights to say and be who I want none of y'all can tell me anything.
 
hutaki tukusindikize kwenye kusudio lako kuu?mbona unakua na ubinafsi na roho ya choyo sana? Ndomana sis mods tunakuramba ban Kila uchwao
Siwezi kusindikizwa na ndama mwehu
 
Kama jf unapiga kelele kiasi hiki sijui mazingira unayoishi inakuwaje..

Huwezi toboa kwa kuwaambia watu goals zako na plans zako... utabaki kujisifu na kujipa moyo...
images
Tunamshauri na kumjenga kiakili anatuona ni haters lakini ipo siku atakuja kuandika ukweli wa mambo tu.
Mbona kuna wengi tu huwa wanaandika uhalisia wa hali zao na wanapata usadizi na wanakaa sawa kabisa. Bado huyu yupo kwenye tope amenasa
 
Back
Top Bottom