Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

Wewe unafahamu kila kitu, una uzoefu wa maisha kuliko wengine, hutaki kusikiliza ushauri wa wengine na unajisifu sana..

Hutaki kupingwa , unabishana kuonekana upo sahihi wakati wote...

Ni vigimu kwako kukubali hufahamu kitu flani na ukubali ukajifunza...

Nikuambie tu hizo ni sifa zako... kwa hizo sifa jumlisha na uropokaji wa plans zako na goals, I bet , hufiki popote ndugu...

Maana unachofanya hapa ndicho kina reflect nje ya jf...
Anakera sana huyu dogo na tunamsaidia lakini bado analeta ujuaji wake. Kifupi ana shida na makuzi ya utotoni yalikuwa inonekana alikuwa anaona au amepitia kufanywa kituko na ndio ile picha ana I present humu.
 
Nakera?
Sema ukweli ya kuwa uko so insecure kuona watu wengine wananena wanachokitaka bila hiyana.

Unajua makuzi yangu na maisha yangu binafsi? Mbona unakuwa kama wadada wapenda udaku? Umhunijui ila unavyoongea kama vile ulikuwepo katika makuzi yangu
 
Hata mods wanafahamu una tatizo ndio maana kila muda wanakulamba ban...

Utasema mod nao wanakuonea wivu? Kwa kipi?
Mods wananifahamu?

UNAJUA ni kwanini? Because sidanganyi, wanacho fanya ni kutaka ukweli tuishie hewani... Kama ule uzi wangu wa malalamiko walivyo ufungia for further comments
 
Ni msaada gani ambao unaongelea mkuu?

Huu huu wa kujaribu kunishusha chini na kejeli? Au?
Wewe ni binadamu na lazima kuna madhaifu au mapungufu yapo na watu wanayaona. Sasa wewe unajiona ni Mr Perfect na hutaki ushauri au mawazo ya wenzako wewe uko timamu kweli ?
Huyo Donald Trump pamoja na nguvu na Mamlaka aliyonayo anakosolewa . Wewe ni nani ?

Kama upo Perfect sana basi usiwe unaandika nyuzi zako ambazo unataka usifiwe ili uendelee kupotea, watu wanakuambia uhalisia wa mambo wewe unataka maneno matamu na rahisi. Upo timamu kweli wewe ?

Watu wanakujali kwa kukwambia Mane o machungu ili upate afya.

Krolokwin, flagly ni dawa chungu sana lakini ukinywa homa na kuhara kunakata.

Watu wa vijijini huwa wanakunywa Mwarobaini ambao ni mchungu kwelikweli na wanapona kabisa.

Humu hakuna maneno ya kukusifia na kukuremba tunataka upone hizo trauma zako.

Tupo pamoja na tutaendelea kukuambia kama utachukia na kutudharau ni hiari yako hii ni kazi tutaifanya tunapokuwa tuna muda.

Maigizo na drama huo ni upotevu Kijana
 
Tusimkatie tamaa sote aisee , yupo kwenye hali mbaya ili kumsaidia asipotee kabisa tuendelee kumwambia. Maana huenda akapata suluhisho la changamoto zake.
Tatizo la afya ya akili ni real...

Mtu anaweza kuwa na profession ameajiriwa serikalini cheo kikubwa tu lakini ana tatizo la afya ya akili...
 
Wewe ni binadamu na lazima kuna madhaifu au mapungufu yapo na watu wanayaona. Sasa wewe unajiona ni Mr Perfect na hutaki ushauri au mawazo ya wenzako wewe uko timamu kweli ?
Huyo Donald Trump pamoja na nguvu na Mamlaka aliyonayo anakosolewa . Wewe ni nani ?

Kama upo Perfect sana basi usiwe unaandika nyuzi zako ambazo unataka usifiwe ili uendelee kupotea, watu wanakuambia uhalisia wa mambo wewe unataka maneno matamu na rahisi. Upo timamu kweli wewe ?

Watu wanakujali kwa kukwambia Mane o machungu ili upate afya.

Krolokwin, flagly ni dawa chungu sana lakini ukinywa homa na kuhara kunakata.

Watu wa vijijini huwa wanakunywa Mwarobaini ambao ni mchungu kwelikweli na wanapona kabisa.

Humu hakuna maneno ya kukusifia na kukuremba tunataka upone hizo trauma zako.

Tupo pamoja na tutaendelea kukuambia kama utachukia na kutudharau ni hiari yako hii ni kazi tutaifanya tunapokuwa tuna muda.

Maigizo na drama huo ni upotevu Kijana
It is who I am..

Kwani wewe uko perfect?

Hakuna aliye perfect for perfectionism is a curse.

Mimi niko hivi hivi, kila mtu wanabeba trauma zake in one way or another..

So usitake kurusha condemnation kwa kitu ambacho hata wewe unacho..

I ain't buying into your manipulative tricks. I know who I am and I'm just being me
 
Sisi hatumsaidii huyu chizi bali tunarekebisha tu ili hawa vijana wengine wasije wakaiga huu ukichaa wakifikiri ndio njia sahihi,mleta mada msaada uliobaki kwake ni kumpatia tu usafiri wa kumfikisha Mirembe Dodoma.
Unaji dhatiti sana, ila nilishakwambia all you're doing is elevating me instead of pulling me down
 
Ndugu zangu..

Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu..

I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho.

I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu..

Ipo siku Nitakuja humu kuwakumbusheni yaha maneno. Sio kwa ubaya ila nataka mujionee how Good the lord is..

If he chooses you, he will hide you in plain sight until it's your time to shine.

I once said by mwaka 2040 Nitakuwa mtu maarufu duniani.. Ni kweli kabisa, hii ni vision niliyo iona since I was a bitty little boy.

Naomba niwakumbushe tu wale wenye malengo makubwa na wwameoneshwa na Mungu wazidi kuamini, maana it must come to pass.

View attachment 3666450
Goodwill Hunting
 
Back
Top Bottom