Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

Umekuwa mjinga sana tena hata nje ya JF na hili jina lako umeonekana una changamoto za kifikra . Kaa kwa kutulia attentions unazozitafuta umeshazipata rudi kwenye uhalisia sasa
Am sorry if it hurt mkuu. Kwanini uwe na makasiriko na mtu usiye mjua?

Nimesema Natafuta attention au nimeongea ninacho taka kukiongea?
 
Tunamshauri na kumjenga kiakili anatuona ni haters lakini ipo siku atakuja kuandika ukweli wa mambo tu.
Mbona kuna wengi tu huwa wanaandika uhalisia wa hali zao na wanapata usadizi na wanakaa sawa kabisa. Bado huyu yupo kwenye tope amenasa
Watu wenye plans na goals za mbele, ni wakimya, hawaropoki hovyo, wana focus na ni watu wa action...ni wasiri, they build their dreams in secret..

Talking about a goal gives your brain a quick hit of satisfaction... so that it lowers your drive to finish the task...

Huyu mdau anapoteza muda na energy kuelezea hizo goals zake na plans badala ya kuzifanya...

Kumuambia mtu idea yako anaweza kuiba..

Pia kuwaambia watu plans zako wanaweza kuku criticize au waka doubt ama ukapata bad energy toka kwa watu ambao hawataki kuona una win..

Ni vyema hata uandike kwenye karatasi hizo plans na goals na si ku post online...

Let your finished results and success speak louder than your words....
 
Usimpe matumaini hewa , akili bado changa sana huyu kama mawazo ya watu tu yanampanikisha ataweza kuukabili uhalisia wa mafanikio?
Sija panic wala nn... Ni wewe unaye hangaika sana kutaka mawazo yako uchwara yawe viable!!!

I just said, and meant what I said
 
Tumia akili zako vizuri Kijana 😂😂😂
Mbegu inapoota ardhini huwa haina mikelele lakini wewe kelele nyingiiii

Hatukuandami lakini jifikirie sana aisee , kama humu JF tushakujua nenda na huko nje wakujue basi
Huyu mjomba wangu nadhani kuna changamoto flan mahala. Maandiko yake kwasisi watu wazima yanatupa kuielewa saikolojia yake vizuri na kwa kwa kiasi flani ana utupu flan ndani yake anajaribu kuujaza kwa njia isio sahihi
 
Watu wenye plans na goals za mbele, ni wakimya, hawaropoki hovyo, wana focus na ni watu wa action...ni wasiri, they build their dreams in secret..

Talking about a goal gives your brain a quick hit of satisfaction... so that it lowers your drive to finish the task...

Huyu mdau anapoteza muda na energy kuelezea hizo goals zake na plans badala ya kuzifanya...

Kumuambia mtu idea yako anaweza kuiba..

Pia kuwaambia watu plans zako wanaweza kuku criticize au waka doubt ama ukapata bad energy toka kwa watu ambao hawataki kuona una win..

Ni vyema hata uandike kwenye karatasi hizo plans na goals na si ku post online...

Let your finished results and success speak louder than your words....
Nani aliye kudanganya?
Msifuate kila njia nayo ambiwa, create your own trail. Kila mtu ana namna yake ya ku manifest visions zake into reality
 
Huyu mjomba wangu nadhani kuna changamoto flan mahala. Maandiko yake kwasisi watu wazima yanatupa kuielewa saikolojia yake vizuri na kwa kwa kiasi flani ana utupu flan ndani yake anajaribu kuujaza kwa njia isio sahihi
Kumbe?
Utupu upi huo unao umaanidmsha?

I'm just speaking my way into greatness
 
Sija panic wala nn... Ni wewe unaye hangaika sana kutaka mawazo yako uchwara yawe viable!!!

I just said, and meant what I said
Sihangaiki wala kutaka kufurahisha watu kuweka malengo yangu mtandaoni, lakini mtindo huu unatumia ni wakitoto sana na unaenda kuzika kila kilochomo lwenye Mawazo na akili yako.

Ndoto zako na mipango yako sio matangazo. Nakukumbusha hata Nabii Yusuf A.W alipoota ndoto za kuona mitende 11 inamsumjudia akamwambia Baba yake Nabii Yakub hapo aliteleza. Kumbuka Yusuf anamwambia Baba yake tu. Na Baba yake akatabasamu na akanyamaza kimya.

Sasa weww mjinga mjinga usiyejitambua unaropoka kama ufahamu umekata breki unataka nini ?

Angalia tusije kupata taarifa upo Milembe Hospital. Kwa kifupi umekuwa kichefuchefu na maandiko yako yenye mlengo wa sifa binafsi tena za kijinga kabisa
 
  • Thanks
Reactions: ---

Kwa nini uteseke..
Nime kutrigeer nini?

Yaani mimi kuongea ya kuwa ni GOAT ndo uanze kunirushia presha zako?

Chill and do your business.. Kama ipo ipo tu..
Misemo ya biblia si ya kuchukua literally
 
Not a problem so long u grasped the concept

People affirm what are not or what they do not have. They affirm what they wish to be or achieve. So it is all about an idea of wishfull thinking
Hata sijui umeandika nn hapo?
 
Back
Top Bottom