KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,963
- Thread starter
- #81
Sharti gani uzijuazo?
Wenye ujuzi watajazia ila kwa haraka haraka yatakiwa mtu uwe unaswali swala 5 ujitahidi kisikupite kipindi cha swala, usiwe mtu wa kusema uongo au kudhulumu, usiwe mtu wa zinaa, ujitahidi kuwa na udhu muda wote, usiwe mtu wa mapicha picha kwa ujumla, ukiweza uwe unadumu na Dhikr muda wote n.k
Wenye Ilmu mtaongezea sie wengine maamuma tu wala hatuna tulijualo kiongozi.
Thanks a lot.