Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

HAHA HAAAA TANGU JANA USIKU NILIJUA TU KUWA HUU UZI UNALENGO LA KUTANGA BIASHARA ..NANILIKUWA NAJUA KUWA SO CALLED KIOO NDIYE HUYO ANAYEJIITA Mgeni wa Mungu ...
AMEAMUA KUANZISHA HUU UZI KWAKUJUA KUWA KUNA WATU WENGI WANAOSUMBULIWA NA MATATIZO YA MAJINI (MAPEPO ) SO TARGET YAKE NIKUJIFNYA KUWA ANAUFAHAMU MKUBWA WA HAYO MADUDE ILI APATE KUAMINIKA NA WENYE HAYO MATATIZO NA KWAMANTIKI HIYO ATAKUWA AMEPATA WEPESI WAKUWEZA KUWATAPELI ......

Dah hatari hi nyie ndio wapiga ramli mliolaniwa na mwenyezi Mungu. Manake umenipigia ramli mm kijana ninaejiweza kwa shuhuli zangu unaniingiza kwenye mambo ya uganga. Mungu atakulani na kizazi chako. Kama hukusoma nitakuombea Mungu akupe elimu. Manake sioni sehemu yoyote niliyosifia hawa viumbe au uganga
 
Jini ukiwanae anajua nyendo zako zote humu jf kuna mtu aliniambia nisiongee nae kabisa anaweza akaniharibia maisha yangu. Yani majini kwanza kwa mambo ya kukutisha wanaongoza wanapenda kila time wakuweke na hofu. Huwez kuwa huru na tabia zako lazima zitabadilika hapo ndio anasema amekuweza.

Wakikupa mipango ya pesa mashart yao utajuta inawewekana hata shati ukashindwa kuinunua

Siku iyo simu yangu iliita nikawa nahofia kuipokea akaniambia pokea ni muhmu iyo nikaipokea. Kumbe alikua ni rafk yangu miaka ming tulipotezana. Tukasalimiana rafk yangu akawa na mpango ana kiwanja cha beach anauza cha ajabu bila ya kufikiria au kuwaza nikamwambia mm wateja ninao. Wakat huo uko nyuma jini alikua ashanipa jina la uyu rafik yangu kama alinikumbusha. Tulikwenda beach kukagua kiwanje nikarud badae akaja jini akaniambia kesho nenda mjini kakae sehemu chini ya mti watakuja watu utawapeleka kwenda kukagua kiwanje, kilikua kinauzwa mil600 akaniambia hao utawauzia mil800 na pesa yote ipokee wewe.

Lakin nakumbuka kabla ya matokeo hayo nyuma tulivutana sana nikamwambia mimi sitak pesa za mipango na majini.

Nilikwenda pale hawa majini wanasifa uwe unawatumikia wanavotaka ndio wanaweza kukupa na ww unachotaka na mara nying ni damu. Hawataki chochote zaid ya damu. Nilikaa chn ya mti.. dah hi habar ni ndefu lakn namshukuru Mungu
Unamaanisha uue au damu ya kuku au mbuzi
 
Assalaam Alaykum.

Natumai mnaendelea vyema wakuu. Well, kama mada inavyojieleza kuwa nahitaji msaada kutoka kwenu wakuu kwa yoyote mwenye Roohan.

Kama yupo humu jamvini itakuwa vyema au kama yupo unayemfaham anaye si mbaya kama utaniunganisha nae ntashkuru sana.

Napatikana Dar. Natanguliza shukran za dhati kwenu wakuu. Thanks.

Nawasilisha.
Piga namba hii 100 kwenye mtandao wowote.Utapata msaada bila wasiwasi wowote.
 
No, wala hujanikwaza mkuu.

Kwa kifupi habari nilizonazo ni zinahusiana na hao viumbe, hata nikimueleza binadam wala hataweza kujua chochote mkuu.

Nahitaji kuongea nao kuna majadiliano nataka kufanya baina yangu na wao ndio ntajua wapi pa kuanzia na pia niendelee vipi kutokana na majadiliano yatakavyokuwa mkuu.

Ahsante.
Jambo jema...!
 
Dah hatari hi nyie ndio wapiga ramli mliolaniwa na mwenyezi Mungu. Manake umenipigia ramli mm kijana ninaejiweza kwa shuhuli zangu unaniingiza kwenye mambo ya uganga. Mungu atakulani na kizazi chako. Kama hukusoma nitakuombea Mungu akupe elimu. Manake sioni sehemu yoyote niliyosifia hawa viumbe au uganga
aiseee ..hahaaaa MUNGU AKULAANI WEWE KWANZA ..UNAYEJIFNYA KUWAONGOPEA WATU HUMU JF KWA MALENGO YA KUTAKA KUWAGEUZA MTAJI ..ETI WAJIFNYA UMEWAHI KUKUTANA NA JINI AMEKUOMBA MSAADA WA DAWA ...ACHA UWONGO WAKIBOYA BASIII ...HABARI ZA BUNUASI UNAZILETA HUMU TENA MBAYA ZAIDI UMEIPOST MPKA HIYO DAWA .MJE KUNA AMBAYE ALIKUOMBA KUIONA HIYO DAWA ALIYOKUOMBA HUYO JINI .NA KAMA KWELI UMEWAHI KUONAN NAYE KWANN HUKUMPIGA PICHA KAMA AMBAYO ULIWEZA KUIPIGA PICHA HIYO DAWA YAKO UNAYOIPA PROMO HUMU .ILI WATU WOTE WAMUONE HUYO JINI KAMA AMBAVYO TULIWEZA KUKIONA HCHO KIKOPO CHA DAWA ULICHOKIPOST...WIZI TU ...ULAANIWE AISEEE
 
Lo! Dunia inamengi. Hlf kuna watu wanauthubutu wa ajabu yaani kbs namuita jini mwenyew sjui udi sjui nn
 
aiseee ..hahaaaa MUNGU AKULAANI WEWE KWANZA ..UNAYEJIFNYA KUWAONGOPEA WATU HUMU JF KWA MALENGO YA KUTAKA KUWAGEUZA MTAJI ..ETI WAJIFNYA UMEWAHI KUKUTANA NA JINI AMEKUOMBA MSAADA WA DAWA ...ACHA UWONGO WAKIBOYA BASIII ...HABARI ZA BUNUASI UNAZILETA HUMU TENA MBAYA ZAIDI UMEIPOST MPKA HIYO DAWA .MJE KUNA AMBAYE ALIKUOMBA KUIONA HIYO DAWA ALIYOKUOMBA HUYO JINI .NA KAMA KWELI UMEWAHI KUONAN NAYE KWANN HUKUMPIGA PICHA KAMA AMBAYO ULIWEZA KUIPIGA PICHA HIYO DAWA YAKO UNAYOIPA PROMO HUMU .ILI WATU WOTE WAMUONE HUYO JINI KAMA AMBAVYO TULIWEZA KUKIONA HCHO KIKOPO CHA DAWA ULICHOKIPOST...WIZI TU ...ULAANIWE AISEEE

Akili mbovu sana hz inamana mm niipe promo dawa inayouzwa 2500? Bora ubaki kimya pia itakusaidia
 
Back
Top Bottom