Mgeni wa Mungu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 1,233
- 1,296
Dah hawa viumbe hatari nilikua nawahesabu wakiniingia wanapita kwenye kitovu, walikua wanafika 10 , au njia nyingne wanatumia kwenye mashikio kuingia kwenye mwili
Unachosema ni kweli mkuu.
Hawa viumbe wanaweza wakakufunga akili ukajikuta unafanya vitu tofauti na matakwa yako ila unakuwa nusu unajua unachofanya nusu hujijui kwa nini unafanya hivyo, kwa kifupi wanakufunga mkuu. Ukizinduka ndio unajikuta umefanya kitu flani bila ya kutaka na unaanza kujutia kwa nini nimefanya.
Dah, pole sana mkuu.
Mi nimepewa namba kwa ajili ya mawasiliano tu ila kwenda kwao sikwenda nikiwa najielewa walinichukua tu nikiwa sijielewi.
Alikuja siku moja na chakula chao toka huko ujinini nikagonga kama kawaida ni story ndefu kama unavyosema mkuu. Acha tu.
Mkuu nipe namba ya mmojawao, nimemiss kusex na jiniKuna jambo moja kubwa sana nililifanya wakati wamenishika akili Allah ndio anajua kama ilikua ni kheri yangu au ni shari mpk leo sijapata furaha kwa icho kitendo. Hu mwaka tena.
Huruma ya Mungu itawale.Mkuu nipe namba ya mmojawao, nimemiss kusex na jini
Na kutokea wanatokea wapi? Siku za hivi karibuni nimepewa mafuta ya olive.. Nikijipaka masikio yanawaka moto.Dah hawa viumbe hatari nilikua nawahesabu wakiniingia wanapita kwenye kitovu, walikua wanafika 10 , au njia nyingne wanatumia kwenye mashikio kuingia kwenye mwili
Na kutokea wanatokea wapi? Siku za hivi karibuni nimepewa mafuta ya olive.. Nikijipaka masikio yanawaka moto.
Ulitumia njia gani kuondokana na haya matatizo?
Asante mkuu.... He kutumia mafuta ya zaituni na masikio kuwaka moto ni dalili nzuri kuwa wanataka kutoka au?Wanatokea njia iyoiyo wanayoingilia, kiukweli nimepigana nayo sana wala sio kwa waganga kwasababu hakuna kitu siamini kama waganga
kila mtu anaweza kujisaidia mwenyewe cha msing utie nia na kujaribu jaribu kila dawa na uache mambo ya uchafu. Shika sala sana. Majini ukenda kwa mganga wanadili nae na wanamwambia kila kitu ulivo kama kweli wanataka kukusaidia. Lakn hawana lolote. Kama ni muislam usiku ukiwa unajua kusoma soma baqar au iweke isome tu chumbani mwako
Mkuu ulijaribu dawa gani na gani?Wanatokea njia iyoiyo wanayoingilia, kiukweli nimepigana nayo sana wala sio kwa waganga kwasababu hakuna kitu siamini kama waganga
kila mtu anaweza kujisaidia mwenyewe cha msing utie nia na kujaribu jaribu kila dawa na uache mambo ya uchafu. Shika sala sana. Majini ukenda kwa mganga wanadili nae na wanamwambia kila kitu ulivo kama kweli wanataka kukusaidia. Lakn hawana lolote. Kama ni muislam usiku ukiwa unajua kusoma soma baqar au iweke isome tu chumbani mwako
[/QUOTE]Unachosema ni sahihi kiongozi coz hata mi nimeshawasaidia hawa viumbe hawajakamilika kwa kila kitu mkuu. Na sio kwamba nahitaji kuwategemea kwa kila kitu, Laa. Ila kuna baadhi ya vitu nahitaji kufanya nao majadiliano that's why nikaomba msaada.
Nakubaliana na wewe mkuu hawa pia huwa wanahitaji msaada kutoka kwetu pia na tuko katika kusaidiana katika baadhi ya mambo mkuu hawawezi kila kitu hawa kiongozi.
Good to know this, huwa wanakuja mara kwa mara usiku kila ikifika saa tisa naskia harufu nzuri ya udi mkuu. Na mwili huwa unasisimka sana kama vibration flani hivi, heart beats inapanda na mwili hupata joto mpaka jasho linatoka then suddenly napitiwa na usingizi mzito na kujikuta niko sehemu tofauti kabisa nikiwa nafanya mapenzi. Ni mambo mengi mkuu mengine siwezi kuandika hapa.
Namshkuru MUNGU kuwa maswali na wala sinywi pombe, sivuti sigara, sifanyi zinaa. Namtegemea MUNGU kiongozi.
ALHAMDULILLAH.
Mkuu ulijaribu dawa gani na gani?
Dah hawa viumbe hatari nilikua nawahesabu wakiniingia wanapita kwenye kitovu, walikua wanafika 10 , au njia nyingne wanatumia kwenye mashikio kuingia kwenye mwili
Ndiyo hao, vinyamkera ni mashetani ya kizaramo wa bara ( kisarawe na maeneo ya jirani yake) ruhani ni mashetani wa bahari na maeneo ya jirani ingawa wajuzi watachambua vizuriKiongozi.
VINYAMKERA si ndio wale wanawajengea VIBANDA vya MAKUTI kisha wanatupia MACHICHA ya nazi, sijui vitu gani.
KUKU hawakosi kwenye vile VIBANDA, utawakuta wanakula vile vitu vilivyotupiwa kwenye VIBANDA
hahahaaaaa....Juzi kati hapa kuna ndugu yangu analo basi lilivyomjia kichwani... Ukimsogelea kuongea nae anaweka siri zako zote peupe.. ila kama una matatizo anakuambia na chanzo cha tatizo
Wanatokea njia iyoiyo wanayoingilia, kiukweli nimepigana nayo sana wala sio kwa waganga kwasababu hakuna kitu siamini kama waganga
kila mtu anaweza kujisaidia mwenyewe cha msing utie nia na kujaribu jaribu kila dawa na uache mambo ya uchafu. Shika sala sana. Majini ukenda kwa mganga wanadili nae na wanamwambia kila kitu ulivo kama kweli wanataka kukusaidia. Lakn hawana lolote. Kama ni muislam usiku ukiwa unajua kusoma soma baqar au iweke isome tu chumbani mwako
ndio mana sisi kama Wa Islam tumefunzwa kutembea kwa duwa kulala kwa duwa pia kuamka kwa duwa duwa ndio silaha ya muumin ,,kumbuka kufanya utaratibu wa kucukua udhu kbla ya kulala,,kusoma surat-ul ikhlas×3,,Surat-falaq×3,,Surat-nas ×3 na Ayatul kursiyu,,kisha tema kweny viganja vyako si kutema mate kibao,, kweny mikono yako ujipake mwilini had seehem mikono haitofika then pulizia corner nne za nyumba ulizo lala kisha lala kwa ubavu wa kulia naiman kwa uwezo wa Allah utakua una kinga moja kubwa !!!