Unachosema ni kweli mkuu.
Hawa viumbe wanaweza wakakufunga akili ukajikuta unafanya vitu tofauti na matakwa yako ila unakuwa nusu unajua unachofanya nusu hujijui kwa nini unafanya hivyo, kwa kifupi wanakufunga mkuu. Ukizinduka ndio unajikuta umefanya kitu flani bila ya kutaka na unaanza kujutia kwa nini nimefanya.
Dah, pole sana mkuu.
Mi nimepewa namba kwa ajili ya mawasiliano tu ila kwenda kwao sikwenda nikiwa najielewa walinichukua tu nikiwa sijielewi.
Alikuja siku moja na chakula chao toka huko ujinini nikagonga kama kawaida ni story ndefu kama unavyosema mkuu. Acha tu.