Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Tafuta kitabu kinachoitwa TWIBUL AIMA ujitibu mwenyewe kwa kufuata maelekezo yaliomo. Alafu ulete mrejesho hapa.
 
Assalaam Alaykum.

Natumai mnaendelea vyema wakuu. Well, kama mada inavyojieleza kuwa nahitaji msaada kutoka kwenu wakuu kwa yoyote mwenye Roohan.

Kama yupo humu jamvini itakuwa vyema au kama yupo unayemfaham anaye si mbaya kama utaniunganisha nae ntashkuru sana.

Napatikana Dar. Natanguliza shukran za dhati kwenu wakuu. Thanks.

Nawasilisha.
wewe ni mchawi ?
 
Kuna mmoja wa kike alikuja mwenyewe tu. Wa kiume nilishangaa tumekutana tu barabarani tukawa marafiki mpaka kula na kulala tulikuwa tunalala wote.

Wengine waliobaki walikuja wenyewe tu coz walitokea kunipenda mkuu.
Hawakupendi hao..wamekufanya chaka lao...na ujuwe hawana mchezo mwema mwisho watakujutisha tu hao!
 
Assalaam Alaykum.

Natumai mnaendelea vyema wakuu. Well, kama mada inavyojieleza kuwa nahitaji msaada kutoka kwenu wakuu kwa yoyote mwenye Roohan.

Kama yupo humu jamvini itakuwa vyema au kama yupo unayemfaham anaye si mbaya kama utaniunganisha nae ntashkuru sana.

Napatikana Dar. Natanguliza shukran za dhati kwenu wakuu. Thanks.

Nawasilisha.
Astaghafirulah mwenyezimungu akusamehe madhambi yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom