Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,962
- 168,866
Inachekesha.....
Mnada mzuri ni kiwanja tu me sinunuagi kitu kwenye mnada zaidi ya kiwanja
Sio jeuri..kujisahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tamaa zitawaua
Watu wanatengeneza mazingira juu kwa juu ukishangaa unaliwa kisela
Ah ah ah!hii imenifanya nichekeWanawake huwa rahisi sana kutapeliwa!
Mie kuna demu wangu ni msomi ana degree na pia ana kazi nzuri tu halafu ni mtoto wa mjini na nilikuwaga nilishampa full story jinsi wanavyotapeliwa lakini cha ajabu siku moja anatoka bank kuchukua hela akalipe mafundi site kwake wajanja wakamuwahi wakamuuzia kipande cha mkaa "dhahabu" akaja kijiweni kwangu fasta eti ana habari njema alipoanza tu kusimulia kwamba amepata bahati ya kuwa tajiri ghafla nikamkatisha nikamwomba nione hiyo dhahabu alipofungua kile kimfuko anakuta kipande cha mkaa na alikuwa amekinunua milion moja laki nane.!
Bahati nzuri mazingira ya hapa Dom vibaka wengi nawajua maana nilishawahi kuwa mwizi zamani kwa hiyo nikaanza msako fasta mpaka nakuja kukamata waliomuuzia nikakuta pesa walishagawana wametumia wamebaki na laki nne na sabini tu wakanipa.
Lakini haikupita muda demu huyohuyo akatapeliwa pesa kupitia fb account fake ya mtu aliyejiita Jokate Mwegelo (Mkuu wa wilaya Kisarawe enzi hizo)
Yaani story ni ndefu ila niliamini wanawake akili zao za ajabu sana
Asante mkuu.Pole sana mkuu mjue kuibiwa hakuna ujanja. Binafsi Mungu atusaidie kuwa alert kila muda maana shetani ana mbinu nyingi sana za kumfedhehesha mtu.
Asante riki.Nimeshapoa ndio changamoto za ujasiriamali hizi naonapole sana mkuuu jaribu kuwa mpole kwake anaweza jidhuruu
Bro,lazima niende ifike mahali tusifanyiane uhuni najua ntasaidia wengi wasio na uelewa wasitapeliwe tena
Barabarani au dukani? Duh poleNiliwahi kuuziwa saa 2 SHS 180,000/= Ni mwaka Jana hiyo niliona aibu Sana. Zile saa nilitamani nizitupe.
Mim mwaka 2007 nikiwa bongo pale kariakoo kuna mnada ukapigwa Mim nikataman njuti Raba kali sana ya maana nikanunua kwa sh elf 20 ...nikawekewa kwenye mfuko nafika home nikatia mfuko kabatini nikaendelea na mishe zangu
Ilipofika jumapili nikajisemea moyoni ngoja nitoke out kwa masela nikawalingishie raba zangu
Nikaoga fresh ..nikajipiga unyunyu nikaenda kuchukua buti ile kufungua mfuko nikakuta maganda ya kabichi ....
Nilichoka sana nikaishiwa nguvu ...**** la mama ake zao wale nyau
Watoto WA siku hizi hawajui hata vijasti🙄🙄Hahhaaaa Itakuwa kijasti bekozi.
Anaenda kupewa pesa bandia simu inachukuliwa anapigwa mwingine.Wenye kazi hii lazima wanaloga Sana.Naona unaenda kutapeliwa kwa mara ya pili. Tafadhali usiende!!
Jamaa alikuja ofisini anajiita Jaluo Kiswahili kama cha watu WA Mara akanionyesha saa na hadithi ndefu akawa anataka kujifanya anaunganisha na simu ili simu ikipigwa simu na saa vyote viwe vinaita. Nahisi lengo lake ilikuwa achukue namba ya Siri ya benki alijua nina simu banking sababu nilikuja kugundua kuwa saa Ile haina uwezo huo. Cha ajabu alikuwa anataja mabosi wote Kwa majina kuwa wamechukua. Nikaingia kwenye 18 akaniachia visaa viwili akadai anaenda kuchukua vitu vingine kama spika, ear pod na power bank. Nilimsubiri huku nampigia simu akanijibu 'Nitakuletea home' ndipo niligundua Nimeingizwa mjini Kwa lazima.Barabarani au dukani? Duh pole
Ntaleta hapa
Duh....hii mpya...! Pole mnoJamaa alikuja ofisini anajiita Jaluo Kiswahili kama cha watu WA Mara akanionyesha saa na hadithi ndefu akawa anataka kujifanya anaunganisha na simu ili simu ikipigwa simu na saa vyote viwe vinaita. Nahisi lengo lake ilikuwa achukue namba ya Siri ya benki alijua nina simu banking sababu nilikuja kugundua kuwa saa Ile haina uwezo huo. Cha ajabu alikuwa anataja mabosi wote Kwa majina kuwa wamechukua. Nikaingia kwenye 18 akaniachia visaa viwili akadai anaenda kuchukua vitu vingine kama spika, ear pod na power bank. Nilimsubiri huku nampigia simu akanijibu 'Nitakuletea home' ndipo niligundua Nimeingizwa mjini Kwa lazima.
🙏Duh....hii mpya...! Pole mno
Duuuh,yani pamoja na kumwambia bado kapigwa??sasa anaumwa nini,atulie tu..Matapeli hawaishi na wajinga pia hawaishi.
Jana wife kapigwa 760,000 kwenye laini za miamala na wale jamaa wanaoipigaga simu.
Yaani licha ya kumpa elimu yote huko nyuma kuwa asije akajaribu kuelekezwa kitu na akafanya kwenye simu za miamala bado alinasa tu.
Hv kalazwa yuko hospitali yaan hasara mara 2.
Damn Dunia ni chungu hii wakat mwingine
[emoji28][emoji28][emoji28]Hakuna mtu nayetapeliwa anakubali mapema kuwa ametapeliwa. Jamaa aliwekewa vipande vya mbao badala ya simu na alipofungua akaona ni mbao akabaki kuigeuza geuza karibu robo saa kama haamini macho yake huku anasema du wameniwekea dawa nini?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hawa jamaa sijui wanaroga kulalekiYaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela damn!