raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,952
- 37,290
Sasa jamaa ana akili ya kununua simu laki 5 mnadani ataweza kugundua receipt sahihi kweliHakikisha hiyo receipt uliyopewa ni legit mkuu.. wasije kuireport polisi hiyo simu waliyokuuzia kuwa imeibiwa , ukala hasara mara mbili!
Hapo alipo anahisi katapeliwa haamini badoš¤£š¤£š¤£