Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,557
🤣🤣🤣 mkuu walikuuzia top badala ya Shati. Ila binadamu sio wazuri kabisaDah mwaka 2008 nilikaribishwa mjini.. Kipindi hicho ndo naanza chuo, nikapita pale ubungo nikakuta wananadi simu na shati kwa elf 8 [emoji3][emoji3]
Visimu hivi vya batani, masharti ni utatestia kwenu.. Nikajisemea sio mbaya hata kama simu mbovu basi nitapata shati, shati lenyewe liko sealed.
Dah nafika hostel, kutest simu hamna kitu.. Shati nalo sio shati linaishia kifuani.. Ikabidi nibaki nalo moyoni tu ila tamaa ziliniponza, sijawah msimulia mtu ule ujinga wangu ndo kwa mara ya kwanza naandika hapa!