Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Yaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela
Pole sana mkuu mjue kuibiwa hakuna ujanja. Binafsi Mungu atusaidie kuwa alert kila muda maana shetani ana mbinu nyingi sana za kumfedhehesha mtu.
 
Yaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela damn!
Lazima watakua wahuni was ifakara...pole sana
 
Habar za humu wanajamvi?

Ilikuwa siku ya jumamosi natoka kwenye harakati za vikao na clients wangu basi nikapita pale Mwenge mpakani kulikuwa na mnada wavitu wakidai muuza duka alichukua mkopo kashindwa rejesha so vitu vya dukani vikawa vinapigwa mnada.

Basi pale nikaona simu aina ya IPhone 11 Pro max ambayo bei zake huwa ni 1.7m dukani,basi nikaikagua ile simu nikaona kama ipo poa basi nikatamka offer yangu 500,000tsh nikachukua baadae nafika home nakuta sio IPhone kabisa bali wameweka os inayoendana na iPhone isee nilichoka.

Sasa je ninaweza kwenda kwenye mamlaka gani inisaidie nipate hela yangu maana hapo nimetapeliwa.

Nina risiti ya efd na ya kawaida.
Umekuja lini mjini mkuu?
iPhone ununue road??
 
bongo ukisikia kitu bei chee,epuka sana kukisogelea.

maana haya vitu used tu kama ni kizima huwa bei bado imesimamisha mlingoti.

picha linaanza unaambiwa mtu kafilisiwa,kuna pasi za ya umeme,mzani digital,cherehani ya umeme,laptop 6,simu mixer kama 38 hivi,tv 6 zote kampuni tofauti,vyombo vya ndani na printer,saaa swali la kujiuliza huyo mtu alikuwa anafanya bisahara ya aina gani??[emoji23][emoji23]

pole mkuu.
Alikua anafanya mixed bussiness [emoji23]
 
Kesho nitakuwa na mnada kariakoo karibuni sana duka langu linafilisiwa ni duka la simu orijino bei ni chee karibu na bure
..niungisheni mwana jf mwenzenu
 
Habar za humu wanajamvi?

Ilikuwa siku ya jumamosi natoka kwenye harakati za vikao na clients wangu basi nikapita pale Mwenge mpakani kulikuwa na mnada wavitu wakidai muuza duka alichukua mkopo kashindwa rejesha so vitu vya dukani vikawa vinapigwa mnada.

Basi pale nikaona simu aina ya IPhone 11 Pro max ambayo bei zake huwa ni 1.7m dukani,basi nikaikagua ile simu nikaona kama ipo poa basi nikatamka offer yangu 500,000tsh nikachukua baadae nafika home nakuta sio IPhone kabisa bali wameweka os inayoendana na iPhone isee nilichoka.

Sasa je ninaweza kwenda kwenye mamlaka gani inisaidie nipate hela yangu maana hapo nimetapeliwa.

Nina risiti ya efd na ya kawaida.
Pole sana Mkuu, mimi mwaka 2016 nilikuta nje ya maduka ya mtaani kwetu kuna mnada kama huo, basi mimi nilikua nina hela nimesave kutoka pocket money za shule nikaenda nikanunua camera Canon 300D, nikakagua picha zinatoka vizur kabisa, Nafika home hamna kitu yaana ukiangalia unaona giza.

Kurudisha al manusura nipigwe mzee, wanataka camera yao OG wanirudishie hela yao
 
Yes,Cha msingi usiwe mtu wa tamaa, Kuna jamaa yangu mtoto wa mjini aswaaa, anajenga nyumba na kuuza ndio issue zake uko mbweni ,now yupo Dom, basi ye pamoja na ujanja wake alipigwa mil.20 cash ,kiwanja Cha magumashi alipigwa.

Ivi naandika haya kashavuka maji yuko pemba kaenda kuua
Na huko anapigwa tena!
 
Nina demu wa hivi, kichwani mweupe kichizi ila mjuaji balaa… ukianza kumwelekeza tu keshadakia eti usimbebe ujinga![emoji16][emoji16]
Mtu yoyote akishakuwa mbishi hawezi kuelimika. Hawezi kuelimika kwa sababu hawezi kujifunza. Unakuta mtu ukimweleza jmabo anaitikia tu ili kuondoa kero lakini hajashika hata moja. Wanawake wengi wa uswazi ndivyo walivyo. Mwanamke wa uswazi anaamini mambo anayofundishwa au kuambiwa na mashoga zake kuliko utakalomwambia wewe hata kama una elimu gani.
 
IMG_7439.jpg
 
Jamaa yangu mwaka juzi aliagiza atafutiwe mke kijijini, akatumiwa picha watsapp wakampanga dem mmoja akawa anaongea na jamaa, jamaa akaanza kutuma hadi matumizi watu wanakula, akaambiwa atume mahali jamaa wataifikisha lahaula alikuja kwenda kujionea maajabu mchumba ana mimba ya mshenga

Halafu akanipa mm jukumu la kufuatilia kesi,siku ya kwanza tu kdg nimzibue vibao nkamchana braza...,hz mambo zipo kifamilia fuatilia mwnyw maana kwangu suspect namba moja hyu hyu shemeji nisije kuharibu mambo bure,for sure mi nltaka akabananishwe na wapelelezi kwanza maana mambo zingine haziingii akilini.
Sure mkuu situation nyingine unaweza kudhania amepanga mpango wa kukupiga pesa
 
Mwaka 2008 nikiwa chuo ,kuna jamaa angu alikuwa na nokia 6210i.
Basi na mimi nikawa naitamani.kitu kilikuwa na Bluetooth na wenyewe walikuwa wana chat yao ya mig33.kama WhatsApp.
Nilikutana na wapinzani wa majembe jina limenitoka lkn ofisi zao zilikuwa pale clock tower.
Nikanunua kwenye mnada kariakoo .simu haikai line sehemu ya line mbovu halafu haikai na chaja ilikufa Ac.yaani ili iwake basi iwe kwenye umeme ukiichomoa tu inazimika ndani yavdk kama 10 hivi.
Kurudisha nikaambiwa niwape wainadi ikipatikana mteja ndio hela yangu itarudi.
Basi nikawa nawapa kila jumamosi na mimi nakaa pembeni nione itauzwa sh ngapi ili nipikee hea yangu.kila jumamosi nakawa nawauliza wapo wapi ili niende.nilizunguka mji mzima watu hawakuinunua.siku nakubali iuzwe kwa bei ya chini ikanunuliwa kwa 35000 wakati nilinunua 60000. Na kila wiki nilitumia nauli kufuatilia mauzo yake.
Bongo hata uwe mwenyeji king huingia tu.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Bongo ndo jiji pekee unaweza kuuziwa canter inayotumia petrol[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom