Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,993
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji81][emoji81] kamselelekoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji81][emoji81] kamselelekoo
swali zuri sana,utakuta duka la kufilisiwa lilikuwa la eletronic utashangaa wana uza adi viatubongo ukisikia kitu bei chee,epuka sana kukisogelea.
maana haya vitu used tu kama ni kizima huwa bei bado imesimamisha mlingoti.
picha linaanza unaambiwa mtu kafilisiwa,kuna pasi za ya umeme,mzani digital,cherehani ya umeme,laptop 6,simu mixer kama 38 hivi,tv 6 zote kampuni tofauti,vyombo vya ndani na printer,saaa swali la kujiuliza huyo mtu alikuwa anafanya bisahara ya aina gani??[emoji23][emoji23]
pole mkuu.
Apigwe tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza hela nikupe Iphone halisi.
Ingia inbox nimekutumia number ya kutuma pesa
Kuzaliwa mjini. Form 6 au hujawahi sikia?Ndo maana sitamani kbs kuishi Dar ..kila siku wanabuni mbinu mpya🤧!pole
Apigwe tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo akili wangezitumia kwenye mishe za maanaKuzaliwa mjini. Form 6 au hujawahi sikia?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Unaweza kukuta unaishi ndani na mwehu, unajifanya kuvumilia ndoa kumbe unavumilia mwehu, inabidi kabla ya kuoana kwanza watu wapimwe na akili
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo uliuziwa kitop sio?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yes,Cha msingi usiwe mtu wa tamaa, Kuna jamaa yangu mtoto wa mjini aswaaa, anajenga nyumba na kuuza ndio issue zake uko mbweni ,now yupo Dom, basi ye pamoja na ujanja wake alipigwa mil.20 cash ,kiwanja Cha magumashi alipigwa.
Ivi naandika haya kashavuka maji yuko pemba kaenda kuua
Wanawake huwa rahisi sana kutapeliwa!Inawezekana mkuu.Watu tunatofautiana uelewa.Mwenyewe nimeshindwa kuelewa inakuwaje mtu ulimpa maelekezo lakini anatapeliwa kwa njia hiyo hiyo
Mkuu hiyo kampuni ya "Samusan" ni kampuni mpya?Brother aliwahi nunua tv ya samusan Inchi 32,kwenda kuwasha inasoma hitachi,halafu inamikwazuro,inapiga kelele,kama anasaga mawe! Alibaki anasema tu,tayari nishapigwa
Kumbe hao jamaa huwa wanapata wajinga wa kuwaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba walikuwa wahudumu wa mitandao yote! [emoji28][emoji28][emoji28]
Nimecheka sana hii komment[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba walikuwa wahudumu wa mitandao yote! [emoji28][emoji28][emoji28]
Anaenda kutapeliwa tena Pemba[emoji2][emoji2][emoji2]Yes,Cha msingi usiwe mtu wa tamaa, Kuna jamaa yangu mtoto wa mjini aswaaa, anajenga nyumba na kuuza ndio issue zake uko mbweni ,now yupo Dom, basi ye pamoja na ujanja wake alipigwa mil.20 cash ,kiwanja Cha magumashi alipigwa.
Ivi naandika haya kashavuka maji yuko pemba kaenda kuua
Hapana mkuu sio kuroga watu, hawa wanacheza na hisia za muhusika,dahh, hv huwa wanafanyaje au wanawaroga wateja ??[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Piga hesabu kwanza kapigwa 760k , ongeza na matibabu kiaina ambayo amelazwa itafika milioni nzima kabisa hapana tushauri jamaa akiruhusiwa apitilize kwao, jamaa akimng’ang’ania huyo kuna siku atajikuta mwanamke ashauza hadi masufuria kabisa na mashuka,