Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habar za humu wanajamvi?

Ilikuwa siku ya Jumamosi natoka kwenye harakati za vikao na clients wangu basi nikapita pale Mwenge mpakani kulikuwa na mnada wa vitu wakidai muuza duka alichukua mkopo kashindwa rejesha so vitu vya dukani vikawa vinapigwa mnada.

Basi pale nikaona simu aina ya IPhone 11 Pro max ambayo bei zake huwa ni 1.7m dukani, basi nikaikagua ile simu nikaona kama ipo poa basi nikatamka offer yangu 500,000tsh nikachukua baadae nafika home nakuta sio IPhone kabisa bali wameweka os inayoendana na iPhone aisee nilichoka.

Sasa je ninaweza kwenda kwenye mamlaka gani inisaidie nipate hela yangu maana hapo nimetapeliwa.

Nina risiti ya efd na ya kawaida.
 
Mi nlipigwa smart tv imewashwa kabisa naiona 42inch. Nafika home nkakuta imekata mistari. Na flash Gb64 kuweka kwa computer haisomi. Jumla nlipigwa 310K.

Nlipowarudishia tulizinguana lkn nkawa nmepigwa.

Nlikuja kumuuzia fundi sh 10000/=[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umepigwa mzeee

Usipende vitu cheap kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
dahh, hv huwa wanafanyaje au wanawaroga wateja ??[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Unahisi umetapeliwa au umetapeliwa mkuu.

Hata hivyo wao walikuuzia ile simu uliyoishika ukakagua na uzuri ulitamka mwenyewe ofa ya laki 5. Wewe ndio uliamua kuiita iphone 11 pro wenyewe walikuuzia ile uliyoinunua kwa laki 5 ambayo ukiwafuata saa hizi watakupa jina lake vizuri tu
 
Mi nlipigwa smart tv imewashwa kabisa naiona 42inch. Nafika home nkakuta imekata mistari. Na flash Gb64 kuweka kwa computer haisomi. Jumla nlipigwa 310K.

Nlipowarudishia tulizinguana lkn nkawa nmepigwa.

Nlikuja kumuuzia fundi sh 10000/=[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umepigwa mzeee

Usipende vitu cheap kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😃😃😃
 
Duuuh, hii kali sana, ilikua usiku nn kuna jinsi wakakuchezeshea?
 
Habar za humu wanajamvi? Ilikuwa siku ya jumamosi natoka kwenye harakati za vikao na clients wangu basi nikapita pale mwenge mpakani kulikuwa na mnada wavitu wakidai muuza duka alichukua mkopo kashindwa rejesha so vitu vya dukani vikawa vinapigwa mnada.
Basi pale nikaona simu aina ya IPhone 11 Pro max ambayo bei zake huwa ni 1.7m dukani,basi nikaikagua ile simu nikaona kama ipo poa basi nikatamka offer yangu 500,000tsh nikachukua baadae nafika home nakuta sio IPhone kabisa bali wameweka os inayoendana na iPhone isee nilichoka. Sasa je ninaweza kwenda kwenye mamlaka gani inisaidie nipate hela yangu maana hapo nimetapeliwa. Nina risiti ya efd na ya kawaida

Simu zipo madukani, huko mitaani ulikuwa unatafuta mteremko? Hapo sasa umeupata bara bara! Simu ya bei ghali namba hiyo eti mtu akuuzie kwa laki tano! Lazima liwe kopo! Kwani Dar una muda gani tangu utoke mikoani?
 
Back
Top Bottom