[emoji3][emoji3]msiwafungie sana wake zenu ndani...ona sasa...!
Jamaa atakua alishauriwa aoe darasa la saba hatomsumbua sasa kila siku anaelekeza lakini wapi, kajiloga kumfungulia M PESA ndio hivo kagawa mtaji, akaamua kuzimia, vituko ni vingi, kuna mengi dunia hii