Ulipo wapo piaNdo maana sitamani kbs kuishi Dar ..kila siku wanabuni mbinu mpya🤧!pole
Sinaga tamaa na hayo makitu..labda naponea hukoUlipo wapo pia
Duuh nimecheka sanaMi nlipigwa smart tv imewashwa kabisa naiona 42inch. Nafika home nkakuta imekata mistari. Na flash Gb64 kuweka kwa computer haisomi. Jumla nlipigwa 310K.
Nlipowarudishia tulizinguana lkn nkawa nmepigwa.
Nlikuja kumuuzia fundi sh 10000/=[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepigwa mzeee
Usipende vitu cheap kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AfadhaliSinaga tamaa na hayo makitu..labda naponea huko
Pole sana, chukulia kama funzo kisha songa mbele na maisha.Habar za humu wanajamvi? Ilikuwa siku ya jumamosi natoka kwenye harakati za vikao na clients wangu basi nikapita pale mwenge mpakani kulikuwa na mnada wavitu wakidai muuza duka alichukua mkopo kashindwa rejesha so vitu vya dukani vikawa vinapigwa mnada.
Basi pale nikaona simu aina ya IPhone 11 Pro max ambayo bei zake huwa ni 1.7m dukani,basi nikaikagua ile simu nikaona kama ipo poa basi nikatamka offer yangu 500,000tsh nikachukua baadae nafika home nakuta sio IPhone kabisa bali wameweka os inayoendana na iPhone isee nilichoka. Sasa je ninaweza kwenda kwenye mamlaka gani inisaidie nipate hela yangu maana hapo nimetapeliwa. Nina risiti ya efd na ya kawaida
Kaenda mnadani jamanii,mpeni pole lol,.Simu zipo madukani, huko mitaani ulikuwa unatafuta mteremko? Hapo sasa umeupata bara bara! Simu ya bei ghali namba hiyo eti mtu akuuzie kwa laki tano! Lazima liwe kopo! Kwani Dar una muda gani tangu utoke mikoani?
Hatari mimi jamaa angu alikuta sony tv nch 55 akauziwa laki 5 mpaka leo ile tv haiwashi maana akiwasha tu lazima umeme wa 10000 uishe kwa siku na akati umeme wa 10000 anatumia siku sitaNdo maana sitamani kbs kuishi Dar ..kila siku wanabuni mbinu mpya🤧!pole
Dah🤣🤣Hatari mimi jamaa angu alikuta sony tv nch 55 akauziwa laki 5 mpaka leo ile tv haiwashi maana akiwasha tu lazima umene wa 10000 uishe kwa sikj na akati umeme wa 10000 anatumia siku sita
Anasema ni sawa na amenunua v8 akati uwezo wake wa mafuta ni ist😂😂😂😂Dah🤣🤣
Habar za humu wanajamvi? Ilikuwa siku ya jumamosi natoka kwenye harakati za vikao na clients wangu basi nikapita pale mwenge mpakani kulikuwa na mnada wavitu wakidai muuza duka alichukua mkopo kashindwa rejesha so vitu vya dukani vikawa vinapigwa mnada.
Basi pale nikaona simu aina ya IPhone 11 Pro max ambayo bei zake huwa ni 1.7m dukani,basi nikaikagua ile simu nikaona kama ipo poa basi nikatamka offer yangu 500,000tsh nikachukua baadae nafika home nakuta sio IPhone kabisa bali wameweka os inayoendana na iPhone isee nilichoka. Sasa je ninaweza kwenda kwenye mamlaka gani inisaidie nipate hela yangu maana hapo nimetapeliwa. Nina risiti ya efd na ya kawaida
Yaani unaweza kufaAnasema ni sawa na amenunua v8 akati uwezo wake wa mafuta ni ist😂😂😂😂
Huna tamaa au huna hiyo hela ya kupigwa mkuu?Sinaga tamaa na hayo makitu..labda naponea huko
Mie huwa naenda Dar kuwauzia majeneza tu kisha narudi DomNdo maana sitamani kbs kuishi Dar ..kila siku wanabuni mbinu mpya[emoji1784]!pole