Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Ulivyoongea utadhani wa daslm hawatapeliwi Mkuu watu wapo wamezaliwa hapo na mpaka kesho wanasubiri kontena waliloenda kulipia china halijafika mwaka wa pili huu...kutapeliwa hakuangalii wa New York ,Cape Town au Hong Kong ukiingia tuu 18 za wahuni unatapeliwa...
[emoji28][emoji28][emoji28]achana na wa dsm,wanatepilwa hadi wazungu mjini hapa
 
Niko mbali na nyumbani mkuu.Inanibidi tu kupiga simu maana yuko hospitali presha ilimshuka na hajatengemaa. Kiukweli natamani nipate mda hata wa wiki hivi bila kuongea nae ila ndio hivyo amenikaba na kuugua
Mkuu,nenda kamtie moyo..
 
Sasa jamaa ana akili ya kununua simu laki 5 mnadani ataweza kugundua receipt sahihi kweli
Hapo alipo anahisi katapeliwa haamini bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatari mimi jamaa angu alikuta sony tv nch 55 akauziwa laki 5 mpaka leo ile tv haiwashi maana akiwasha tu lazima umeme wa 10000 uishe kwa siku na akati umeme wa 10000 anatumia siku sita
Mwambie aniuzie hiyo tv
 
Asanteni sana wanajukwaa kwa pole pamoja na ushauri wenu,Leo nimeweza kurudishiwa 82% ya hela yangu yaani 410,000.Bora nusu hasara kuliko hasara kamili.
 
Narudia tena....USIENDEEE hzo mamlaka ww zione tu hvo hvo.Hii nchi ina mambo mengi sana ya ajabu

Asanteni sana wanajukwaa kwa pole pamoja na ushauri wenu,Leo nimeweza kurudishiwa 82% ya hela yangu yaani 410,000.Bora nusu hasara kuliko hasara kamili.
 
Mkuu wewe pia ulitaka kutapeli ila ukazidiwa ujanja kwahiyo jipange next time. Simu ya 1.7m wewe ununue kwa 500k sio utapeli huo??
 
Mkuu wewe pia ulitaka kutapeli ila ukazidiwa ujanja kwahiyo jipange next time. Simu ya 1.7m wewe ununue kwa 500k sio utapeli huo??

Sio kweli
 
Mi nlipigwa smart tv imewashwa kabisa naiona 42inch. Nafika home nkakuta imekata mistari. Na flash Gb64 kuweka kwa computer haisomi. Jumla nlipigwa 310K.

Nlipowarudishia tulizinguana lkn nkawa nmepigwa.

Nlikuja kumuuzia fundi sh 10000/=[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umepigwa mzeee

Usipende vitu cheap kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko sensitive sana na electronics equipment, naogopa sana kununua mikononi mwa watu. Jamaa yangu alinunua flat TV ya Samsung kwa 120,000 kwenye minada hio hio, alipofika home kuwasha haiwaki, ilhali pale mnadani ilikua inaonesha kabisa (kwa mujibu wa maelezo yake).
 
Back
Top Bottom