secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,839
- 8,652
Jamaa wamekutandika bila huruma....!!!
siku nyingine ukome ....
usipende vitu mteremko
siku nyingine ukome ....
usipende vitu mteremko
Usije kununua tena vitu kwenye iyo minada, mi binafsi ni fundi computer ao watu waminadani wanakuja sana ofisn kukusanya maconputer mabovu ata yasiyowaka kabisa wananunua wanakuja kuuza minadani na ata ukienda kudai hupati kitu katu we samehe tu.Habar za humu wanajamvi? Ilikuwa siku ya jumamosi natoka kwenye harakati za vikao na clients wangu basi nikapita pale mwenge mpakani kulikuwa na mnada wavitu wakidai muuza duka alichukua mkopo kashindwa rejesha so vitu vya dukani vikawa vinapigwa mnada.
Basi pale nikaona simu aina ya IPhone 11 Pro max ambayo bei zake huwa ni 1.7m dukani,basi nikaikagua ile simu nikaona kama ipo poa basi nikatamka offer yangu 500,000tsh nikachukua baadae nafika home nakuta sio IPhone kabisa bali wameweka os inayoendana na iPhone isee nilichoka. Sasa je ninaweza kwenda kwenye mamlaka gani inisaidie nipate hela yangu maana hapo nimetapeliwa. Nina risiti ya efd na ya kawaida
[emoji3][emoji3] best umetumia kinywaji gani
Kumbe muumini☺😊Kvant kubwa , best
Rafiki angu alivuta smart tv hatari sana....ina madude yote yafaayo...ila inahitaji sana moyo
Yaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.Inatokea wanaingia kwa angle nyingine kba
Aisee nimependa style mpya rastaNdo maana sitamani kbs kuishi Dar ..kila siku wanabuni mbinu mpya🤧!pole
Yaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela damn!
Pengine tuko jirani apa masumbwe[emoji3][emoji3] unanitisha mkuu ..! Mimi nikimis kubang ndo naenda huko ..wiki tu linanitosha narudi mavumbini kwangu Mbogwe
Huenda mkuu..natesekea huku mimiPengine tuko jirani apa masumbwe
😀😀😀 soon nazitoa..napoishi mavumbi balaa..naboreka...Aisee nimependa style mpya rasta
Yaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela damn!
Hahhahahahaha....unaniua mbav mimi ujueNisikilize mimi mkuu, nunua vikombe vya plastic tu ni uhakika… usirogwe vitenge sijui Java sijui Wax utalialia.[emoji28][emoji28][emoji28]
Usijali nitakupangia apartment ushuani downtown nakuhamisha huko uswekeni u know.😀😀😀 soon nazitoa..napoishi mavumbi balaa..naboreka...
🤣🤣🤣🤣! Am favoured you knw..am humbled! ..ngoja nikakuroge vyema sasa uharakishe hili suala aise..na sisi tuishi ushuani jamani kabla israel hajatupenda zaidi🥰Usijali nitakupangia apartment ushuani downtown nakuhamisha huko uswekeni u know.
Wewe laki 5 hiyo tungekuzika kabisa.Sina hela na sina tamaa maana hata kumiliki simu ya smartfone ni ndoto kwangu! Ndo nilimaanisha hivyo! Mimi hata buku tu nadead mazima! 🖕
Sure very soon utasema byee uswekeni u know🤣🤣🤣🤣! Am favoured you knw..am humbled! ..ngoja nikakuroge vyema sasa uharakishe hili suala aise..na sisi tuishi ushuani jamani kabla israel hajatupenda zaidi🥰