Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

🤣🤣🤣🤣 !nimecheka kama mazuri..dah..hivi huwa inawork eh? 2019 niliibiwa kalasha(crusher almost lote..wakaondoka ma golori zote na lidude fulani nimesahau jina lake...hahaa wapambe sasa..oh kamloge afe🤣🤣!nikawaambia sina imani hizo...hv kuna watu wanarogwa kufa na wanakufa??interesting
Itakua ulilazwa ICU miezi mitatu. Ndio maana hadi leo kichwa yako haiko mzuri.
 
Wewe laki 5 hiyo tungekuzika kabisa.
Endelea kutokua na tamaa hivyo hivyo, tusije kukupoteza mapema.
Laki 5 mimi sijawah ishika..kwanini kunifikiria mbali kote huko? Hapa nimebakiza 400 ninunue vitumbua asbh nimelala nayo kitandani...si unajua nyumba za uswahilini hizi hawakawii kupita dirishani!!🖕
 
Laki 5 mimi sijawah ishika..kwanini kunifikiria mbali kote huko? Hapa nimebakiza 400 ninunue vitumbua asbh nimelala nayo kitandani...si unajua nyumba za uswahilini hizi hawakawii kupita dirishani!!🖕
Kuwa makini vibaka wasije pita nayo. Hilo dole vipi..?
 
Yaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela damn!

Usikubali kukaa na mtu wa namna hiyo mama yangu yote ulimwelekeza hajaheshimu mawazo yako yaani sio kilaza tena ni mburula kabisa huyo
 
Hahhaa sasa ampeleke wapi na ni mkewe? Arovera pombe punguza basi...ndo huko unakosikia kuchukuliana...kubebeana madhaifu

Piga hesabu kwanza kapigwa 760k , ongeza na matibabu kiaina ambayo amelazwa itafika milioni nzima kabisa hapana tushauri jamaa akiruhusiwa apitilize kwao, jamaa akimng’ang’ania huyo kuna siku atajikuta mwanamke ashauza hadi masufuria kabisa na mashuka,
 
Wanavyodai wanasema. Huwa mara nyingi wanaojua mali zao zina enda Taifishwa basi hufanya mbinu ya kubadilisha bidhaa zao na watu wengine alafu wanachua copy ili walizo nazo wasiinge Hasara kubwa. Hivyo uchukuao kitu kuwa makini kwenye hiyo minada.
Mnada mzuri ni kiwanja tu me sinunuagi kitu kwenye mnada zaidi ya kiwanja
 
Habar za humu wanajamvi? Ilikuwa siku ya jumamosi natoka kwenye harakati za vikao na clients wangu basi nikapita pale mwenge mpakani kulikuwa na mnada wavitu wakidai muuza duka alichukua mkopo kashindwa rejesha so vitu vya dukani vikawa vinapigwa mnada.
Basi pale nikaona simu aina ya IPhone 11 Pro max ambayo bei zake huwa ni 1.7m dukani,basi nikaikagua ile simu nikaona kama ipo poa basi nikatamka offer yangu 500,000tsh nikachukua baadae nafika home nakuta sio IPhone kabisa bali wameweka os inayoendana na iPhone isee nilichoka. Sasa je ninaweza kwenda kwenye mamlaka gani inisaidie nipate hela yangu maana hapo nimetapeliwa. Nina risiti ya efd na ya kawaida
Pole hapo kubali tu yaishe kwakuwa hukulazimishwa na kama unavyosema uliikagua na bei ulipanga wewe sasa unalalamika nini? Kikibwa ujue rahisi ni gharama zaidi. Uchune tu hiyo ni tamaa ya kupata vitu ghali kwa bei chee.
 
Piga hesabu kwanza kapigwa 760k , ongeza na matibabu kiaina ambayo amelazwa itafika milioni nzima kabisa hapana tushauri jamaa akiruhusiwa apitilize kwao, jamaa akimng’ang’ania huyo kuna siku atajikuta mwanamke ashauza hadi masufuria kabisa na mashuka,
Hahhahaa hopeful anatumia bima...hahhaa
...maisha haya!
 
Back
Top Bottom