Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

Matapeli hawaishi na wajinga pia hawaishi.
Jana wife kapigwa 760,000 kwenye laini za miamala na wale jamaa wanaoipigaga simu.
Yaani licha ya kumpa elimu yote huko nyuma kuwa asije akajaribu kuelekezwa kitu na akafanya kwenye simu za miamala bado alinasa tu.
Hv kalazwa yuko hospitali yaan hasara mara 2.
Damn Dunia ni chungu hii wakat mwingine
Alikuwa na tamaa... ! Tamaa ni mbaya

Itakuwa walimuhaidi bonus!

Poleni sana , hopefully ata recover fasta, ili aweze kuendelea na mihamala kama kawaida
 
Jamaa yangu mwaka juzi aliagiza atafutiwe mke kijijini, akatumiwa picha watsapp wakampanga dem mmoja akawa anaongea na jamaa, jamaa akaanza kutuma hadi matumizi watu wanakula, akaambiwa atume mahali jamaa wataifikisha lahaula alikuja kwenda kujionea maajabu mchumba ana mimba ya mshenga
Mkuu umewezaje kuwa na jamaa kama huyo?
 
Wale ni wezi waliohararishwa,ila tusipende mteremko,simple logic,tv smart 42inch ukaipate kwa 300k,wao wana kiwanda? Au I_phone[emoji336] ya 900k uuziwe kwa 300k?yy anazitoa wapi? Sometimes tunajitakiaga wenyewe kutapeliwa kwa kuweka ufahamu wetu pembeni na kupenda miteremko
 
Jamaa atakua alishauriwa aoe darasa la saba hatomsumbua sasa kila siku anaelekeza lakini wapi, kajiloga kumfungulia M PESA ndio hivo kagawa mtaji, akaamua kuzimia, vituko ni vingi, kuna mengi dunia hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Yaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela damn!
Elimu yake please,
Baada kipigo asharuhusiwa kutoka hospital???
 
Kwenye minada ya namna hiyo, ikiwa ni lazima ununue…. basi unaweza kununua beseni tu au sufuria kwa uhakika kabisa.

Si vinginevyo.[emoji28][emoji28][emoji28]
Hata beseni utapata yale yaliyopigwa na jua!! Ikweka vitu linapasuka
 
Brother aliwahi nunua tv ya samusan Inchi 32,kwenda kuwasha inasoma hitachi,halafu inamikwazuro,inapiga kelele,kama anasaga mawe! Alibaki anasema tu,tayari nishapigwa
So mbele ilikuwa imeandikwa "samusan" au Samsung kabisa!!
 
Matapeli hawaishi na wajinga pia hawaishi.
Jana wife kapigwa 760,000 kwenye laini za miamala na wale jamaa wanaoipigaga simu.
Yaani licha ya kumpa elimu yote huko nyuma kuwa asije akajaribu kuelekezwa kitu na akafanya kwenye simu za miamala bado alinasa tu.
Hv kalazwa yuko hospitali yaan hasara mara 2.
Damn Dunia ni chungu hii wakat mwingine
[emoji3][emoji3][emoji3] imebidi nicheke japo inasikitisha ila kutapeliwa kunauma sana
 
Yaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela damn!
Daah mkuu utakuwa na mke mrembo mzuri mzuri sema tu ndio hivyo kilaza !!
 
Brother aliwahi nunua tv ya samusan Inchi 32,kwenda kuwasha inasoma hitachi,halafu inamikwazuro,inapiga kelele,kama anasaga mawe! Alibaki anasema tu,tayari nishapigwa
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
🤣🤣🤣🤣 !nimecheka kama mazuri..dah..hivi huwa inawork eh? 2019 niliibiwa kalasha(crusher almost lote..wakaondoka ma golori zote na lidude fulani nimesahau jina lake...hahaa wapambe sasa..oh kamloge afe🤣🤣!nikawaambia sina imani hizo...hv kuna watu wanarogwa kufa na wanakufa??interesting
dah, pole mkuu,crusher ile ya kusagia kokoto,

ukimuachia Mungu inatosha sana,japo inachelewa,lakini huwa anajibu tu,

siunaona watu waliovunjiwa kimara, na wale waliodhulumiwa rambirambi zao Bukoba,
Walimuachia Mungu"

Kilichompata bwana JIWE, Leo imekuwa historia, Wengi hili hawalijui , ila nakufichulia wewe tu!!!!!
Jiwe lilisagwa ""
 
Jamaa atakua alishauriwa aoe darasa la saba hatomsumbua sasa kila siku anaelekeza lakini wapi, kajiloga kumfungulia M PESA ndio hivo kagawa mtaji, akaamua kuzimia, vituko ni vingi, kuna mengi dunia hii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] darasa la saba mzigo, hyo ya kupigiwa simu nakuulizwa kiasi hata Mimi huwa napigiwa nawasikiliza wewe nacheka mwishoni au nawahoji maswali wanakata simu
 
dah, pole mkuu,crusher ile ya kusagia kokoto,

ukimuachia Mungu inatosha sana,japo inachelewa,lakini huwa anajibu tu,

siunaona watu waliovunjiwa kimara, na wale waliodhulumiwa rambirambi zao Bukoba,
Walimuachia Mungu"

Kilichompata bwana JIWE, Leo imekuwa historia, Wengi hawajui ili, ila nakufichulia wewe tu!!!!!
Jiwe lilisagwa ""
Hahahahaa ..hii kweli nitabaki nayo kuwa siri...hulali mkuu?
 
Yes,Cha msingi usiwe mtu wa tamaa, Kuna jamaa yangu mtoto wa mjini aswaaa, anajenga nyumba na kuuza ndio issue zake uko mbweni ,now yupo Dom, basi ye pamoja na ujanja wake alipigwa mil.20 cash ,kiwanja Cha magumashi alipigwa.

Ivi naandika haya kashavuka maji yuko pemba kaenda kuua
😀😀😀

Mwambie rafikiyo nimemdediketia wimbo Dunia haina huruma wa Bahati Bukuku.
 
Imeisha hio bro, wew ulidhan umewaweza kumbe wamekushika ww 500k ungepata simu nzuri sana tena kali, pole sana hapo hamna kitu utakachoweza wafanya...
 
Back
Top Bottom