ahaah, nilipo saizi mchanaHahahahaa ..hii kweli nitabaki nayo kuwa siri...hulali mkuu?
Haha unaweza ukakuta kanajifanyisha kanaumwa sijui presha..Ila we jamaa unamtia mwenzio kichaa bana. Em acha kumwambia hiv asiende maliza hasira kwa mgonjwa haha
Hu sasa ni utapeli sio kwamba dunia yote sasa hivi ni usiku?ahaah, nilipo saizi mchana
pole sanaHu sasa ni utapeli sio kwamba dunia yote sasa hivi ni usiku?
Jokingly...pole sana
Sintasahau matapeli walivompiga chenga ya mwili bibi yangu wakamuuzia sufuria la plastiki...Kwenye minada ya namna hiyo, ikiwa ni lazima ununue…. basi unaweza kununua beseni tu au sufuria kwa uhakika kabisa.
Si vinginevyo.[emoji28][emoji28][emoji28]
Ulivyoongea utadhani wa daslm hawatapeliwi Mkuu watu wapo wamezaliwa hapo na mpaka kesho wanasubiri kontena waliloenda kulipia china halijafika mwaka wa pili huu...kutapeliwa hakuangalii wa New York ,Cape Town au Hong Kong ukiingia tuu 18 za wahuni unatapeliwa...Simu zipo madukani, huko mitaani ulikuwa unatafuta mteremko? Hapo sasa umeupata bara bara! Simu ya bei ghali namba hiyo eti mtu akuuzie kwa laki tano! Lazima liwe kopo! Kwani Dar una muda gani tangu utoke mikoani?
Nimecheka sana Mkuu daah umedodosa utadhani FBI[emoji23][emoji23] kinacho nichekesha ni hapo unaposema "unahisi umetapeliwa" yani Licha ya kuwa umetapeliwa lakin bado hauamini kama umetapeliwa
Daah mbogwe ni wapi huko Mkuu sisi wa porini inatakiwa tutambuane...[emoji3][emoji3] unanitisha mkuu ..! Mimi nikimis kubang ndo naenda huko ..wiki tu linanitosha narudi mavumbini kwangu Mbogwe
Hii ni CHAIYaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela damn!
Tulipomzika mwendazake..GeitaDaah mbogwe ni wapi huko Mkuu sisi wa porini inatakiwa tutambuane...
Na wewe unatesekea wapi mkuu?i knw uko nje mnatucheka sisi tulio ndani😀Daah mbogwe ni wapi huko Mkuu sisi wa porini inatakiwa tutambuane...
Dah, Pole sana ndugu! Ila huyo mkeo huyo....! Nsdhani wiki nzima hukuzungumza naye...! Una haki. [emoji34]Yaani kwa kujua hilo niliwaambia hata kwa namna yoyote ile asije mtu akakwambia sijui bonyeza namba flani kwenye simu usikubali.Nikawaambia na namba ni 100 tu zingine ni utapeli.
Tena niliwaasa kama kunatakiwa marekebisho yoyote msifanye chochote mpaka mnitaarifu.
Ila ajabu hata moja hakukumbuka. Kapigiwa simu kwenye namba za miamala baadae wakamwambia kuna marekebisho ya mtandao tunafanya kwa mawakala,wakaomba na namba yake kawapa.
Wakampigia kwa namba yake huku wanamwamuru abonyeze anachoelekezwa kwenye namba ya wakala.Yaan watu ni wa tigo wakampitisha tigopesa kawatumia wakaja voda napo kawatumia halotel katuma mpaka kumaliza hela damn!
hata vitu bei unapigwa tu mkuu bongo juma nyosobongo ukisikia kitu bei chee,epuka sana kukisogelea.
maana haya vitu used tu kama ni kizima huwa bei bado imesimamisha mlingoti.
picha linaanza unaambiwa mtu kafilisiwa,kuna pasi za ya umeme,mzani digital,cherehani ya umeme,laptop 6,simu mixer kama 38 hivi,tv 6 zote kampuni tofauti,vyombo vya ndani na printer,saaa swali la kujiuliza huyo mtu alikuwa anafanya bisahara ya aina gani??[emoji23][emoji23]
pole mkuu.