My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Sijui Hata umemficha wapi! Na ndiye huyo L niliyekuwa namaanisha!
Doooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
He is my very lovely brother ..

Wala si huyo.

Yaani nilishakwambia ukikuta mtu nishawahi kukupa story zake japo kidogo basi ujue siyo huyo.
Watoe wote hao..

Yeye sijawahi kumuongea hata kwa bahati mbaya.
 
Mara ya kwanza niliona umechangia uzi fulani back in 2014, nilikua mgeni hapa JF ila i can't tell how i felt about you nakuadmire secretly, since then, i promised myself to love you with all my heart, sina uhakika kama unajua kwa sababu sijawahi kukutamkia, whenever i log in here, the first person to look for is you, huwa naangalia umecomment nini, umelike kwa nani, na nani amekumention, naweza kuingia JF mwezi mzima nisiseme chochote, nakuangalia tu wewe naona furaha

You are a beautful soul, a real woman, wife material, a mother, smart, and God fear.

Kuna wakati huwa natamani nikuibukie PM ila naogopa, najua umeolewa na una familia, huwa hujichanganyi sana hapa jukwaani na huwa huchangii kwenye nyuzi zenye matani mengi

Ni mshauri mzuri sana, you respect everyone na sio rahisi ukwaruzane na watu.kuna wakati huwa unapoa kabisa kama vile haupo, sijui nikuambiaje wewe mwanamama, nakupenda hadi nahisi kupoteza fahamu, kila nikijitahidi kukutoa akilini mwangu nafeli

Kuna wakati nilikutumia PM za salamu, hukuwahi kunijibu hata moja wala hukuonyesha kujali.niliumia sana, nilikata tamaa ya kuendelea kukutafuta PM na sikua hata na ujasiri wa kueleza hisia zangu juu yako, tatizo ni kwamba you are too perfect kila nikiangalia sioni dosari yako

Huwa nasikia wivu nikiona mtu amekusifia au amekumention kwa jambo lolote, tena nikiona kidume amekuwekea emoj za love basi hali ya hewa huwa inabadilika hata nyumbani huwa sitaki hata wife anisemeshe. natamani ningekua nakumiliki wewe, nikuchunge na kukuficha

Aaah siwezi kuendelea kusema ila leo nimeamua nitoe ya moyoni labda nitapata ahueni.I do admire you secretly mama.

Karibuni tuwatakie wale secret admirers wetu heri ya siku ya wanawake
Mwenzako amekufa ameoza kwa Da'Vinci [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi kilichofanya nisimfikirie Heaven Sent ni pale aliposema kwamba the woman yuko serious. Hainteract sana na watu na hauwezi kumkuta kwenye nyuzi zenye matani mengi.

Nimeshazoea HS wangu kwenye baadhi ya nyuzi za matani yupo sana tu anachangiaga na huwa anainteract sana na watu. Lakini zile sifa nyingine zote sasa ndiyo zinaendana na za HS.
Mimi HS sikumfikiria kabisa maana huwa hasemi sana mambo ya familia yake au watoto sijui mume.
 
Kuwa na huruma aisee. Huyu anaweza hata akajidhuru huko aliko [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio mapenzi yalivyo mkuu, principle iko hivi [emoji116][emoji116]

"Nakupenda ili unipende, sasa wewe ushanipenda nikupende ili iweje?"

Huyo mdada anayependwa na huyu mwamba hapa kaanzisha uzi wa kumponda mwamba mwingine, yn ikifikia mwanamama anakusema tena anakuanzishia uzi juwa kwamba anahisia fulani na wewe wako ivyo yn, alafu mwamba Da'Vinci kamjibu vzr sn yn wakulungwa wanasema kazidisha hisia za bidada kwake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu mtaje aisee
Nitamtaja mwenyewe

Nakumbuka sijawahi mwambie yeyote humu habari zake.
Bahati mbaya hata ukifwatilia comments zangu huwezi mpata maana hatukutanagi sana humu jukwaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee hii dunia kuna watu wanateseka, miaka SABA ya kusalandia penzi la Mtende ndugu yetu kaambulia KUPUUZWA!

Ewe Mtende unavyomtendea huyu chalii akijidhuru unahusika, jitokeze japo umpe neno hata umkanye tu ajue moja.
Hahaha ati "amkanye ajue moja.

Sidhani kama amempuuzia, basi tu ameamua kuwa kimya baada ya kuona haina haja ya kumjibu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom