ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,769
- 127,885
😂😂Kwamba Karma amekuwa mtukutu siku hizi?Babe ni mambo tu ndio mengi mume wangu, hawa watoto wananipeleka puta. Hakuna anayeweza ichukua au hata kuinusa hata kwa mbali nafasi yako kwangu. Uko peke yako love.
Sent using Jamii Forums mobile app