cyprian musiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nkaburu

    Cyprian Musiba, huna mchele wa kuwagawia Batanzanie? Ama una lima nini huko kijijini.

    Soma pia Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka
  2. Intelligence Justice

    Mwandishi wa habari Cyprian Musiba arejeshewe mazingira ya kufanya kazi tena amejifunza

    Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding) kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
  3. Donnie Charlie

    Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Dar es Salaam. Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia...
  4. benzemah

    Kufuatia Kifo cha Bernard Membe, Je, nini Kitatokea kwa Cyprian Musiba?

    Habari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam. Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama...
  5. figganigga

    Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

    Salaam Wakuu, Sasa nataka kuona hii ngoma Membe ataichezaje. Bernard Membe Baada ya Mahakama kuu ya Tanzania, masijala kuu Dar Es Salaam kumtaka Cyrpian Musiba kumlipa Bernard Membe TZS 9.9 Bilioni, kwa kosa la kumchafua kupitia magazeti yake, Kampuni ya Yono Auction Mart ilipewa Idhini na...
  6. D

    Dk. Bashiru Ally usikae kimya, muokoe Cyprian Musiba

    Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika. Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia...
  7. BARD AI

    Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka

    "Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi...
  8. Ntovye

    Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

    Habari Wana jamvi. Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita. Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii...
  9. Boss la DP World

    Tanzanite Tv Haipo Hewani, Cyprian Musiba Simpati kwenye namba zote mbili.

    Habari zenu, kwa zaidi ya miezi 3 sasa nimekuwa nikimtafuta ndugu yangu mwana harakati huru Cyprian Musiba bila mafanikio, hata ukiingia Youtube Tanzanite Tv haionekani tena. Nani anajua kinacho endelea?
  10. chazachaza

    Musiba siku hizi husikiki umejichimbia wapi?

    Huyu mtu ,enzi zile nilikuwa sikosi kupitapita kwenye akaunti yake twitani au channel kumi na Tanzanite TV, kiukweli hata kama niwe nimeboleka au wife kanichanganya, basi nikipita kwa bwana musiba, sikosi kukuta kitu cha kunifanya nipoteza mawazo. Mala ya mwisho ,kuonekana kwenye media...
  11. Msanii

    Fatma Karume ajipanga kukazia hukumu dhidi ya Musiba

    Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba. Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana Kupitia...
  12. Lord OSAGYEFO

    Mwanaharakati huru "Mdomo umekiponza kichwa"

    Hakika leo ndio nimeamini MDOMO UMEKIPONZA KICHWA Mwanaharakati Huru Aliutumia MDOMO wake Kutukana Watu bila kujali Umri na Madaraka Waliyowahi kushika Mwanaharakati Huru Alijiamini KUPITA KIASI kumbe Kujiamini kule kulikuwa kwa KUMTEGEMEA MTU Mwanaharakati ANAVUNA ALICHOPANDA Bado BASHITE...
  13. Replica

    Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

    “Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu...
  14. peno hasegawa

    Cyprian Musiba Anadaiwa zaidi ya Tsh13 bilioni kwa amri za Mahakama Kuu, iwapo atashindwa kulipa ni nini hatma yake?

    Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni? Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
  15. venance7

    Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

    Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, ndugu Bernard Membe. Mahakama hiyo...
  16. Erythrocyte

    Hukumu ya Kesi ya Membe dhidi ya Cyprian Musiba yaahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

    Mahakama Kuu leo inatarajiwa kutoa Hukumu ya Kesi inayomkabili Musiba na Mhariri wa gazeti la Tanzanite , ambao kwa pamoja wanadaiwa kumchafua Benard Membe kwamba alikuwa anamhujumu aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 , John Magufuli . Membe anadai Mahakamani fidia ya Tsh Bil 10 . ===UPDATE===...
  17. Maghayo

    Umeshakutana na mtu unayemdai anakuambia sina hela ukitaka niue

    Mzuka wanajamvi Kuna jamaa nilikuwa na mdai akawa ananikwepa tukakutana naye ghafla. Nikamzuia na kumuambia anilipe. Jibu alilonipa lilizidi kunikera kwa kuniambia sina hela ukitaka niue basi au fanya chochote. Sasa Shangazi ajiandae kabisa na majibu kama haya kutoka kwa 'short sighted'...
  18. S V Surovikin

    Huenda Cyprian Musiba akashtakiwa na wafanyakazi wake

    Baada ya utawala wa sheria kurudi kwa kiasi fulani huyu jamaa/Musiba nae anapotea na kupoteza kwa kasi ya mwanga! 😬😬 Magazeti yake yalikuwa yakivunja sheria waziwazi lakini serikali ya mwendazak e iliyokuwepo madarakani wakati huo ilikuwa ya kihuni na ya ujanjaujanja hivyo serikali hiyo ikawa...
  19. Analogia Malenga

    Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

    Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu. Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu. Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
Back
Top Bottom