Phd sasa nimekubali zina matatizo au Phd ukiingia kwenye siasa inakuwa diluted?
kasema wazi yeye hajayaona yote hayo usemayo kwenye mkataba, wewe hayo umeyaona wapi?Walioelewa mtuambie mm sijaelewa lolote..Nilitegemea kama AG ungetambaa na ulalo wa Sheria ukichambua issues ambazo wananchi wana mashaka nazo mfano..Useme hii miaka sio milele wala sio mia ila iko hivi na vile..useme pia nchi itafaidika hivi na vile kuanzia mwaka huu mpaka huu...sasa ukianza kusema miradi inakwama kweli bandari ikiendeshwa na DP world ndio miradi haikwami??? miradi gani?? wewe toa majibu ya hoja za wananchi sio miradi imekwama...Nchi hii dah ni ya kuhurumia sana...
Ndio ulivyojifunza kwenye somo la historia?....Ukoloni nao ulianza hivyo hivyo,...
Vipengele vipi "tata"?Mimi binafsi bado sijaona majibu kwa hoja za wananchi kwa baadhi ya vipengele tata katika huu mkataba ,instead key leaders ambao nilitegea watoe ufanunuzi kipengele baada ya kipengele naona wanafanya danadana tu . Jamani Kukiri kukosea sio dhambi ,biblia inasema "He who remains stiff necked after many rebukes will suddenly be destroyed without remedy"
Walioelewa mtuambie mm sijaelewa lolote..Nilitegemea kama AG ungetambaa na ulalo wa Sheria ukichambua issues ambazo wananchi wana mashaka nazo mfano..Useme hii miaka sio milele wala sio mia ila iko hivi na vile..useme pia nchi itafaidika hivi na vile kuanzia mwaka huu mpaka huu...sasa ukianza kusema miradi inakwama kweli bandari ikiendeshwa na DP world ndio miradi haikwami??? miradi gani?? wewe toa majibu ya hoja za wananchi sio miradi imekwama...Nchi hii dah ni ya kuhurumia sana...
Hukumuelewa nani?Mimi sjamuelewa kabisa
Kwi Kwi kwi teh teh tehUsitufanye Sisi Wa-Tanzania kuwa Ni mbumbu ki-hivyo.Kwani kusema Bandari
Imeuzwa,Ni Lazima iandikwe kwenye vipengele vya mkataba kwamba,Tumeuza Bandari?Hiyo Ni NAHAU Kama anavyosema Mzee Makamba.Maana yake Ni kwamba,hUO mkataba una vipengele vya ovyo Vingi,ambavyo havina maslahi kwa Taifa la Tanganyika(Maana Hapa siwezi kusema Tanzania maana mkataba huu hauihusishi Zanzibar.)Hata kwenye milango
Ya Ofisi za police na mahakama,milango yao wameandika "HATUPOKEI RUSHWA".Lakini ingia kwenye Hiyo Ofisi uone utakavyoisoma namba.Hapa Mwanasheria mkuu kajibu Kihuni na kwa utemi.Hujatutendea haki Sisi tulio wajuaji Kama Wewe(Ingawa hatuna madaraka)
Tatizo sio kukubali makosa.Amesema hayo akiwa wapi?
Hivi ni kwanini watu wengi na haswa viongozi wetu ni wagumu kukubali makosa, mbona kukubali kukosea ni njia asili ya mwanadamu kujisahihisha, kwani ni nani kati wa yetu sisi binadamu anae weza kwenda moja kwa moja bila kukosea