Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
TPA wanakwepa gaharama za kuishatakiwa lakini kiukweli hakunasehemu DP World anakwenda kuajiri unqualified staffs kwa mujibu wa masharti yake. Labda kama wanakwenda kuwa vibarua kwenye kampuni hii.
Wafanyakazi wa bandari wanachotakiwa kufanya ni kusoma sheria siyo kupata elimu. Matangazo kwa umma yanapaswa kutolewa yakionyesha msimamo mkataba au sheria za nchi wishes za mkurugenzi wa TPA
Swali; Je wafanyakazi wa Bandari wamehaikishiwa na DP world kwamba watapata ajira yakudumu? Mikataba ya DP world wameiona? Wajiulize kwanini wamepewa short notice? Wamasai wanaelewa vyema namna tunavyotumika vibaya dhidi ya wananchi wetu.
DP siyo mjamaa ni mfanyabiashara, anapoajiri alazimiki kupokea maelekezo kutoka serikalini. Watanzania hasa wafanyakazi wa bandari tafuteni wanasheria wawasimamie hawa viongozi wanatumbuliwa kila leo msiwape masikio yenu
Hao wanaotoa elimu wao wanatumia sheria gani? Usishangae wanatumbuliwa then akaja mwingine akasema mimi alikuwepo au ukasikia mkurugenzi wa TPA atumbuliwa kwakuipotosha serikali.
Hawa watu mtakumbuka ni juzi tu wametoka adharani baada ya kelele kuwa nyingi wakasema wanasikiliza maoni ya wananchi. Je kwenye wafanyakazi mnaamini watakuwa wamefanya utafiti wowote wa kimkataba.
Msivunje mkataba TPA ombeni uhamisho. Kutoka TPA to DP world wakiwashinda Mrudi zenu TPA