Mwana JF aaga dunia!

Status
Not open for further replies.

Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
4,639
2,000
pole sana Mkuu mme uliyefiwa na familia nzima, Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.
 

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,738
2,000
Mkuu mwanaume uliyefiwa pole sana kwa msiba, mwenyezi mungu awajaalie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Mwenyezi Mungu ailaze pema roho ya marehemu, Amen.
 

Lizy

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
413
500
Poleni ndugu, jamaa na marafiki wote kwa msiba mkubwa.

Mme mfiwa, Mwenyezi Mungu akupe nguzu katika kipindi hiki kigumu.

Tulimpenda sana mwana JF mwenzetu, lakini Mungu alimpenda zaidi.

Roho ya marehemu ipumzike kwa amani.

Lizy.
 

Mwawado

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
998
195
Habari ya Msiba wa Dada yetu "imenishtua mno". Mkuu uliyefiwa na mke, Nakutakia Ujasiri na Uvumilivu katika kipindi hichi kigumu...Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Hekima na Busara za Marehemu zitazidi kutukuzwa,Mchango wake kwenye mapambano haya ya kifikra na uendelezwe.Hauko peke yako, Msiba huu ni wa Familia nzima ya JF.Sala na Maombi yetu yako pamoja nawe. Amen.
 

Kigoma

Member
Jul 10, 2006
67
0
Pole kwa mme mfiwa na familia yako nzima. Mungu awaongezee nguvu na faraja katika kipindi hichi kigumu.
 

Mpanda Merikebu

Senior Member
Dec 27, 2007
170
195
Mkuu uliyepoteza mke, Tuko nawe katika kipindi hiki kigumu. Mawazo na dua zetu ziko kwako na familia yako, tukiomba Rabuka Mtukuka akupe nguvu ya kuendelea. Kaa na kumbukumbu nzuri za marehemu, tutamkosa sana hapa jamvini.
Wasalaam,
Mpanda Merikebu
 

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,536
2,000
Kaka uliyefiwa na mke,

Pole sana kwa kumpotea mwenza. Nakuombea rehema za Mungu na amani yake ziwe pamoja nawe.

O day full of grace, which we behold,
to us from the sea ascending;
you over the earth your reign unfold,
good cheer to all mortals lending,
that children of light in every clime
may prove that the night is ending!How blest was that gracious midnight hour,
when Christ in the flesh was given;
then flushed from the east the dawn with pow'r,
that spread o'er the darkened heaven;
then rose o'er the world that sun divine
which gloom from our hearts has driven.


Were all of the trees endowed with speech,
were all of the leaflets singing,
they never with praise His worth could reach,
though earth with their praise were ringing.
Who fully could praise the Light of Life,
who light to our souls is bringing?


As birds in the morning sing God's praise,
His fatherly love we cherish,
for giving to us this day of grace,
for life that shall never perish.
His Church He has kept these thousand years,
and hungering souls did nourish.

With joy we approach our Father's land,
where day is forever dwelling,
where ready for us His mansions stand,
where heaven with praise is swelling;
and there we shall walk in endless light,
with blest ones His praise forth telling
 

Ipole

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
295
0
Mme uliyefiwa na mke, pole sana na JF wote poleni sana yote hiyo ni kazi ya mungu mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu peponi ameen
 

Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,818
1,225
Mkuu uliyefiwa na mke,

Pole sana kwa msiba huu mkubwa sana. Tunakuombea mungu akusaidie wewe na familia yako kwa wakati huu mgumu sana.

Ni mapenzi ya mungu na mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.
 

John Mnyika

Verified Member
Jun 16, 2006
715
225
Raha ya Milele umpe Ee Bwana....Kaka mfiwa, pole sana kwa msiba. Kumbuka Zab 23. Tuko pamoja nawe kiroho katika kipindi hiki cha majonzi

JJ
 

Rufiji

JF-Expert Member
Jun 18, 2006
1,791
2,000
Poleni sana wote mliofikwa na msiba huu , tutazidi kuwaombea ili Mungu adhidi kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
poleni sana wafiwa (mme, watoto, ndugu, jamaa na marafiki wote) kama tulikuwa na tofauti zozote basi hakika tumemalizana maananajua zaidi kwamba tofauti za JF ni tofauti za kidunia, hivyo kama ulinikosea NAKUSAMEHE na kama nilikukosea naomba unisamehe.

Pumzika mahali pema peponi !
 

Mkandara

Verified Member
Mar 3, 2006
15,475
2,000
Inna Llah wa Inna Ilaihi Rajiun!
Mfiwa pole sana ndugu yetu na tunamwombea pepo Maheremu..
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
98,612
2,000
Pole sana mwenzetu kwa kuondokewa na kipenzi cha roho yako. Tunamuomba Mwenyezi Mungu awapeni subira na faraja wewe na wafiwa wengine katika kipindi hiki cha msiba mkubwa pia ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
Status
Not open for further replies.
Top Bottom