green29
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 311
- 41
Poleni sana kwa msiba familia ya marehemu na familia ya JF wote. Kifo ni ushahidi kuwa duniani tunapita na maisha yetu ni mafupi sana. Haijalishi tunaishi muda gani lakini ni muhimu sana kuishi katika namna inayofanyika baraka kwa wengine. yale mema tuliyoyatenda hapa duniani yatatufanya tuendelee kuishi kwenye mioyo ya watu walio hai.