Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.

Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.

Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.

Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
Wanaume mda mwingine tuna roho mbaya sana
 
Naombeni.kura zenu kila mwenye kupitia hapa aangalie hili andiko na alete mchango wake wa kimawazo na ushauri ruksa



Jinsi ya kupiga kura fungua link soma mwisho wa andiko utaona option ya ku vote gusa mara moja

Mfano angalia picha chini kwenye duara ndipo paku vote
Polish_20210810_185056468.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabsa. Unaoa mwanamke hawa wa vyuoni aisee baadhi sio wote ni sumu kwa kweli. Kwanza kabaragazwa mbaya afu mjuaji kinoma why mtu ajilipue. Mwanaume anahitaji mwanamke atakae msikiliza na kushauriana sio wale wanaoona elimu yao ndio muongozo wa ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli
 
Mimi kitu sitofanya hapa duniani, ni kumpenda mwanaume ambae hana pesa.yaani mimi lazima niwe na mwanaume ambae pesa sio tabu kwake, tutakwazana mengine ila sio pesa
Wanawake wa aina yako ni wapumbavu wa mwisho! Hauna mapenzi ya kweli,Wewe unachoangalia ni pesa! Siku zikiisha na wewe unaingia mitini.MSALITI kama wewe hupaswi kuachwa kuishi! Badala ya kuangalia mapenzi ya dhati unaangalia material things! Utapata tu mwenye pesa alafu akutoe kafara! Kwa kuwa hana mapenzi ya kweli na wewe siku akiugua au akafukuzwa kazi akafilisika ndio mwisho weni! MUNGU akusaidie!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom